Giro
JF-Expert Member
- Feb 9, 2009
- 359
- 24
Wacha Wacha,Wacha wa one wenyewe.![]()
Chinachubiri manager wa saba .... ..... 7th governor where is he?
![]()
DOWN AND OUT ... Petr Cech says Chelsea have no hope
of retaining title on current form
Karibuni karibuni kwenye EPL khe khe kheeeeeeeeeeeee
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi,na ikikesha ngoma hupasuka (The Gunners ended up drew 2-2 with 10-man Wigan at the DW Stadium ).
Mashetani (Mapepo) wanagonga mvinyo tu.Lakini wamenuna baada ya kuona daraja likianza kujengwa upya jana.
EPL is a very competitive league. Can you imagine "Wolves stunned Liverpool 1-0 at Anfield?"