Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haah haah yaani jana tumecheza na dunia karibu yote,kila mtu alikuwa anaomba chelsea afungwe tu utadhani sisi ndo tumeshikilia pumzi zenu ila kumbukeni mara ya mwisho tulipopigwa nini kilitokea mpaka ile jana,wana chelsea tutegemee kuiona timu yetu ikiwa na hasira za kuwanyoa wath na chupa
Mkuu, nimepata painful sana kufungwa, nilijua tu zitatokea kelele kama hizi kwa rivals.
 
Ntuzu
Mentor
kalou
Ndiyo EPL ilivyo,haina haja ya kutufukuza wageni hapa bali mjipange mechi ijayo na Leicester!Lkn nawakumbusha kuwa mfumo wa Conte ulikuwa exposed na Stoke week jana na ndipo Spurs wameufanyia marekebisho zaidi!

Kama Conte HAJAJA na mfumo mpya week ijayo na Leicester mbele pale Sliman na Vardy tena kwao wanakufunga!Poleni sana ndiyo soka

13 straight wins , 1 lose ... hubadili mfumo kwa matokeo ya mechi moja , kuna more straight wins zinakuja
 
at some point tungefungwa tu , ila tumefungwa siku ambayo anayetufuatia amedrop point.
5 points on top of league baada ya mechi 20 si kwa bahati bahati .
 
Kawaida ya Mpira 2014/15 walitufunnga hawa hawa 5-3 tarehe 1/jan mkaongea hivyo hivyo ikafika sehemu tukalingana kila kitu na Man City ila mwisho wa siku tukawa mabingwa.

Wewe soma mpira wa Chelsea utakavyo ila usidhani bahati ya mwenzako ni yako. Kikosi hicho hicho na mfumo huo huo nakufunga nao.
Chelsea hawezi mfunga Liverpool hata wachezee Kaitaba Kagera
Heavy metal na beki Cahil?
Acha utani ndugu yangu!
 
I'm not gonna Blame my players for losing after 13 straight wins.

My wing backs Alonso and Moses, they've worked tirelessly, always running from defence to attack. Defending when the team is defending and attacking when needed. Contributed to our winning streak massively.

My centre backs Luiz, Cahill and Dave. They've been Phenomenal, Conceding just 5 goals and an own goal after 13 games and keeping 10 Clean sheets with the help of the outstanding This at Courtois.

My Midfielders Fabregas, Kante and Matic. They been excellent throughout dominating the midfield, helping the Centre Backs and contributing to goals massively.

My Attackers Willian, Pedro and Hazard. They've been magical, destroying defenders, scoring beautiful goals and helping the team in defence when needed.

My Striker Diego Costa, you've showed why you are the best striker in the Premier League, worked extra hard in every game. Scored important goals.

My players on the bench, you guys been acting like our 13th men after the players on the pitch and the fans at the stadium. Been cheering the team and having sad faces when the team isn't doing well.

My manager Antonio Conte, you've come to this League as an underdog, they all underrated you. You don't blame the referees, blame your players or look for trouble with the officials. You accept defeat, look for solutions to help the team and under the radar we go.

To the haters, we are in the same League, played the same Premier League teams, played the same number of premier League games. Now look at the Premier League table and ask yourself this question (Why is my team not top of the table?)
 
Milner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?
Mkuu nimesema kwa ukabaji, means wakati Milner akiwa anacheza namba tatu. Yaan beki tatu, au hajawahi na hachezagi hii namba? Kufunga na Assist sio kazi ya Cahill
 
Always Mauricion ni bingwa wa tactics kwa EPL amejenga timu yake vizuri kwa pasi fupifupi ambazo zinagharimu timu nyingi sana na pia kwenye mipira mingi ya krosi pamoja na set pieces ni wazuri maana yule mdernish Erecksen ni fundi kwa zile krosi hahhahaa
 
Mkuu nimesema kwa ukabaji, means wakati Milner akiwa anacheza namba tatu. Yaan beki tatu, au hajawahi na hachezagi hii namba? Kufunga na Assist sio kazi ya Cahill
Milner ni beki Liverpool kama tu Cahil
Milner sio kiungo wala sio mshambuliaji
Lkn ana assists kibao
 
Milner ni beki Liverpool kama tu Cahil
Milner sio kiungo wala sio mshambuliaji
Lkn ana assists kibao
Kinachomfanya Milner kuwa na assist kibao ni anazozipata mara nyingi akiwa kiungo (ambapo kutoa assist au kupeleka timu mbele ni moja ya majukumu yake) sio akiwa kama beki tatu. Na magoli ya Milner yote Penalt.

Kwa kupiga kazi anapiga kazi ila akiwa kama kiungo akiwa beki huwezi linganisha na Cahil ambaye ni pure beki.
 
Wakuu poleni sn kwa kupoteza mchezo wetu wa jana....

Nimeona walio chini yetu wamefurahi sn na ghafla uzi umevamiwa na kukimbia sn



Km nilivuyo sema jana huu mchezo hautakua na presha sn kwetu ata km tutapoteza kutokana na timu km Arsenal liverpool kupata matokeo ambayo sio mazuri...


Mpira wa jana ulifanana kila kitu kwa timu zote mbili aina ya uchezaji, mfumo na ata mbinu... Na Spurs hawakua wazuri km walivyokuja darajani kwa round ya kwanza. Spurs wasicheze kwa woga huku wakijaribu kutumia mipira mirefu iliyokua ikipigwa na mabeki wao na Eriksen...

Chelsea waliweza kuwatuliza Spurs na Spurs wakawa ni wa kawaida kwasababu zile pasi za Spurs fupi fupi hazikuonekana kabisa lkn hawa Spurs walitegemea pasi ndefu na ndizo zilizotuumiza.

Nimeona watu wakiwasifia sn Wanyama na Dembele kwamba Walikamata kiungo chote. Hili si kweli. Jana kiungo cha kati cha Spurs kilicheza bila uhuru kabisa kwasababu walikua makini ktk kuimarisha ulinzi na kutumia njia yoyote ile kuwazuia chelsea. Na tumeona rafu kadhaa wamecheza hawa. Chelsea midfielder yao ilikua imerelax vzr na wao wakifanya Marking vzr na kukata passes zote zisifike kwa Kane Dele kitu ambacho kilifanya Kane asionekane uwanjani na kumfanya Eriksen ashuke chini kuchukua mipira ili kapiga pasi ndefu.

Nimeona pia watu wakisema Walker na Rose walicheza sn hili nalo si kweli. Hawa Jamaa walikua ni waoga sn kuja hovyo mbele kwasababu wanajua wakipanda mbele hovyo huko nyuma wataadhibiwa.

Chelsea tulilungukiwa ktk umaliziaji tu. Hapo ndio tulishindwa. Tulishindwa kutengeneza nafasi nzuri na ata hizo chache tulizopata hatukuzitumia vzr. Lkn mchezo wa jana ulikua ni wa kawaida sn na uliojawa mbinu nyingi na kuviziana tu....


So far timu bado iko vzr na bado tunaongoza ligi kwa points 5
Chukua mkuu

Mkuu agiza soda hata Bia nakuja kulipa
 
Milner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?
Sema kafunga penati 5,Milner hajawahi kufunga goal la open play.Milner anacheza fullback while Cahill ni centre back
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom