Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu wewe ni mchambuzi mzuri sana lakini leo niseme wazi kua niliacha kushuhudia game nyingi za Epl na kuamua kua mfuatiliaji mzuri sana wa conte na mfumo wake wa 1 3 4 3

Spurs wapo vizuri sana technically, sababu ni timu ya kwanza ambayo ilifanikiwa kuifunga chelsea kipindi cha kwanza kwa mfumo huu mpya

Nikiizungumzia game ya kwanza puchetino hakuwa na papara ya kufanya marking ndani ya kumi na nane walikua wakipigia nje kitu ambayo iliwapa presha chelsea na kuwafanya waofie japo conte alikuja kubadilisha mchezo kwa sub ya wiliian na fabregas kma unakum ukumbuka...

Nikizungumzia game ya jana puchetino yule wa kwanza alibadirika maana nae ilithibisha kama yeye nae ni muitariano sababu alikuja karibia kabisa na mfumo wa chelsea ambapo wanyama alikua na kazi ya kuvuruga mipango na wakati wings wa spurz walichokifanya kikubwa ni kuforce tokea pembeni kama wana hali ya kuingia na kumfanya moses na alonso kucheza kwa nidhamu wakiofia

Ilienda mbali conte akamuwekea ulinzi harry Kane ambe aliwekwa kama geresha pale kuwatahadharisha chelsea kitu ambacho puchetino aliktumia vizuri kabisa kuwaadhibu japo mlimkamia kane ambae hakuomekana

Spurs waliwazidi kimbinu kwa njia nyepesi sana (lakini ngumu sana) waliweza kupiga pasi zao fupi kwa nyakati flani wakiwaaminisha kua wanataka kumtumia harry kane kwa kupiga penetration pass na niliona marking na intercept za azplicueta na david luis kuizuia mipila isimfikie kabisa hapa walifanikiwa sababu tayari mliamini hpatakua na goli

Ericksen alisahaulika sana sababu tention kubwa ilitokea kwake pale anapotengeneza mashambulizi tu na hii ilikua advantage kwa spurs ata mipila mirefu waliopga mliamini haitakua na madhara sababu akili yenu ilikua imetawaliwa na H kane kumbe hakua na lolote aliwekwa asimame tu pale kuwatishia nyau na mlitishika

Ushauri kama ndugu zangu wa London tufuteni mbadala wa MATIC Itasaidia sana sababu akipatikana mbadala wake huai wa kante utaonekana na fanyeni ima mubadilishe upande wa alonso hapo ntawacount kma mabingwa wa London kinyume na hapo PUCHETINO AMETUFUMBUA MACHO WENGI SANA ENGLAND.
Kwa kifupi ni kwamba Spurs hawakuwa wazuri sn kuliko sisi kwasababu ata statistics zinaonyesha tuliwazidi kila kitu ila wao walicheza kwa umakini mkubwa na kufata maelekezo ya kocha wao.
 
Wakuu poleni sn kwa kupoteza mchezo wetu wa jana....

Nimeona walio chini yetu wamefurahi sn na ghafla uzi umevamiwa na kukimbia sn



Km nilivuyo sema jana huu mchezo hautakua na presha sn kwetu ata km tutapoteza kutokana na timu km Arsenal liverpool kupata matokeo ambayo sio mazuri...


Mpira wa jana ulifanana kila kitu kwa timu zote mbili aina ya uchezaji, mfumo na ata mbinu... Na Spurs hawakua wazuri km walivyokuja darajani kwa round ya kwanza. Spurs wasicheze kwa woga huku wakijaribu kutumia mipira mirefu iliyokua ikipigwa na mabeki wao na Eriksen...

Chelsea waliweza kuwatuliza Spurs na Spurs wakawa ni wa kawaida kwasababu zile pasi za Spurs fupi fupi hazikuonekana kabisa lkn hawa Spurs walitegemea pasi ndefu na ndizo zilizotuumiza.

Nimeona watu wakiwasifia sn Wanyama na Dembele kwamba Walikamata kiungo chote. Hili si kweli. Jana kiungo cha kati cha Spurs kilicheza bila uhuru kabisa kwasababu walikua makini ktk kuimarisha ulinzi na kutumia njia yoyote ile kuwazuia chelsea. Na tumeona rafu kadhaa wamecheza hawa. Chelsea midfielder yao ilikua imerelax vzr na wao wakifanya Marking vzr na kukata passes zote zisifike kwa Kane Dele kitu ambacho kilifanya Kane asionekane uwanjani na kumfanya Eriksen ashuke chini kuchukua mipira ili kapiga pasi ndefu.

Nimeona pia watu wakisema Walker na Rose walicheza sn hili nalo si kweli. Hawa Jamaa walikua ni waoga sn kuja hovyo mbele kwasababu wanajua wakipanda mbele hovyo huko nyuma wataadhibiwa.

Chelsea tulilungukiwa ktk umaliziaji tu. Hapo ndio tulishindwa. Tulishindwa kutengeneza nafasi nzuri na ata hizo chache tulizopata hatukuzitumia vzr. Lkn mchezo wa jana ulikua ni wa kawaida sn na uliojawa mbinu nyingi na kuviziana tu....


So far timu bado iko vzr na bado tunaongoza ligi kwa points 5

b6934d8643cd23eaec41903461b8d169.jpg
3a10e051efa2ada04816867fe50d7e21.jpg
 
Kwa kifupi ni kwamba Spurs hawakuwa wazuri sn kuliko sisi kwasababu ata statistics zinaonyesha tuliwazidi kila kitu ila wao walicheza kwa umakini mkubwa na kufata maelekezo ya kocha wao.
Ubora wa spurs ndio ule sikiliza wachambuzi kabla ya game ya kwanza na baada pia kabla ya game ya pili na baada
 
Majingasana hayo huku wana karudia kale ka goli Leo ni Mara ya 10000 labda
 
Pole shujaa kilondon London hakuna makelele ila uko mtaa wa sita sijui saba ndipo karaha ila fanya usajili wa watu wawili
Kwanini tusishangilie, sisi target yetu ni ubingwa na tishio pekee kwetu ni chelsea, nyinyi endeleeni na ndoto zenu za nafasi ya 4
 
Haah haah yaani jana tumecheza na dunia karibu yote,kila mtu alikuwa anaomba chelsea afungwe tu utadhani sisi ndo tumeshikilia pumzi zenu ila kumbukeni mara ya mwisho tulipopigwa nini kilitokea mpaka ile jana,wana chelsea tutegemee kuiona timu yetu ikiwa na hasira za kuwanyoa wath na chupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom