Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..ndoto yako ipo halisia kuliko Yangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.endelea kuota.ila bingwa ni Chelsea.
..ndoto yako ipo halisia kuliko Yangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.endelea kuota.ila bingwa ni Chelsea.
Manu wanafikaje hapa??Man U wana 5 games winning streak sio 13 mfululizo. Hizo nyingine walitoa draws.
..wameona Jinsi ya kumfunga mkuu,a technique is all they needed Wee mwenyew si ulijua mtashinda??Hapo kwenye red, kwahiyo hao waliokwishafungwa kumbe walikua hawataki tu kuifunga Chelsea?! Yaani walikua wanaingia uwanjani ili wafungwe tuu?!
Manu wanafikaje hapa??
Ukweli ni kwamba BLIP ya chelski imefika.
..Mkuu kumbe wewe wa huku??Loooooooh hb
Mkuu nimekuelewaThe January 2017......
Huyu Victor Wanyama ametumwa fedha au ametumwa kazi....? Any way kazi na fedha zinapiganiana ila Wanyama anacheza utafikiri Tottenham Hotspur ipo moyoni mwake toka utoto...... Wanyama the best midfielder so far.
Wakati Chelsea akivunja na kuharibu record ya Tottenham ya kutokufungwa pale darajani, sehemu ya kiungo cha Chelsea kiliwekwa na kuwa chini ya ulinzi wa Wanyama na Dembele..... Vivyo hivyo Leo wakati Tottenham anavunja na kuharibu record ya Chelsea kutokufungwa hapa white hate Lane, kiungo cha Chelsea kiliendelea kuwa chini ya ulinzi wa Wanyama na Dembele. Ukiachia kukaba basi Dembele anakupa kitu cha pekee ambacho wanyama, kante na matic hawana... Personal skillful... Uwezo wa kudrive timu kwenda mbele na umiliki wa mpira ndicho kitu alichowazidi hawa viungo wengine wa kati.
3:4:3 against 3:4:3..... Hapa Moses na Alonso walizidiwa sana katika kukaba pia waliathiriwa sana na speed technical ya Walker na Rose kama wings back wenzao. Magoli yanatengenezewa upande wa Alonso then yamefungwa upande wa Moses.
Christian Ericksen huyu ni quite player ambaye kinachomfanya avae jezi sio kupiga chenga, sio kupiga dalizi, sio kukimbia na mpira..... Ubora wake katika final touch iwe ya dead balls au live balls ndicho kitu pekee kinachomfanya avae jezi na kuwa katika first eleven. Hazard ni tajiri wa pace, dribble, possession ila Leo haikuwa siku yake nzuri kwa matokeo maana Chelsea wanatengeneza nafasi tatu tu za hatari katika lango la Spurs.
Niliwahi kuandika kuwa anaye kimbizwa na Spurs kazi anayo ila anayemkimbiza Spurs pia ana kazi...... Spurs yupo vizuri sana labda tu mumuombee injuries. Kumbe ili umfunge Chelsea lazima upitemo(3:4:3) ahahahaha.
Timu zote zilizopo ndani top six Bado zinauwezo wa kushindania ubingwa kutokana na matokeo haya ya Leo.....
Tuendelee kulaumiana maana huu Msimu ni wa lawama.... Happy new yeah Anthony Conte happy new year best young talented player so far Delle Alli.
Tottenham Hotspur 2-0 Chelsea
Ndio mkuu ila ntakwambia kinagaubaga tukirudi kwetu..Mkuu kumbe wewe wa huku??
Mkuu jaribu kuangalia replay utaona kwanini ilikua hivyoJana azpiuleta alikuwa anamwacha delle ally anaruka free header-SO SAD.
Kawaida ya Mpira 2014/15 walitufunnga hawa hawa 5-3 tarehe 1/jan mkaongea hivyo hivyo ikafika sehemu tukalingana kila kitu na Man City ila mwisho wa siku tukawa mabingwa.Mbinu zile zile Alonso na Mosses kuja nyuma kuchukua mpira then Kante na Matic kuwapokea na kumpa Hazard au Pedro zimeisha fanyiwa kazi!Copy and paste kwa kila team ya EPL itakayo ceza na Chelsea
Kama Spurs wala hawawafuati wakiwa nyuma kwao akina Mosses maana wakikutoka kule ndiyo nyie mnapungua na wao mbele wanaongezeka!Spurs walikuwa wanawasubiri kwao kwenye 18 ambapo Dembele na Wanyama wana wa overpower kwenye duel
Mna kazi kubwa sana kwa Liverpool January hii!Bado hamyaogopi Majogoo?
Ntuzu wewe ni mchambuzi mzuri sana lakini leo niseme wazi kua niliacha kushuhudia game nyingi za Epl na kuamua kua mfuatiliaji mzuri sana wa conte na mfumo wake wa 1 3 4 3Wakuu poleni sn kwa kupoteza mchezo wetu wa jana....
Nimeona walio chini yetu wamefurahi sn na ghafla uzi umevamiwa na kukimbia sn
Km nilivuyo sema jana huu mchezo hautakua na presha sn kwetu ata km tutapoteza kutokana na timu km Arsenal liverpool kupata matokeo ambayo sio mazuri...
Mpira wa jana ulifanana kila kitu kwa timu zote mbili aina ya uchezaji, mfumo na ata mbinu... Na Spurs hawakua wazuri km walivyokuja darajani kwa round ya kwanza. Spurs wasicheze kwa woga huku wakijaribu kutumia mipira mirefu iliyokua ikipigwa na mabeki wao na Eriksen...
Chelsea waliweza kuwatuliza Spurs na Spurs wakawa ni wa kawaida kwasababu zile pasi za Spurs fupi fupi hazikuonekana kabisa lkn hawa Spurs walitegemea pasi ndefu na ndizo zilizotuumiza.
Nimeona watu wakiwasifia sn Wanyama na Dembele kwamba Walikamata kiungo chote. Hili si kweli. Jana kiungo cha kati cha Spurs kilicheza bila uhuru kabisa kwasababu walikua makini ktk kuimarisha ulinzi na kutumia njia yoyote ile kuwazuia chelsea. Na tumeona rafu kadhaa wamecheza hawa. Chelsea midfielder yao ilikua imerelax vzr na wao wakifanya Marking vzr na kukata passes zote zisifike kwa Kane Dele kitu ambacho kilifanya Kane asionekane uwanjani na kumfanya Eriksen ashuke chini kuchukua mipira ili kapiga pasi ndefu.
Nimeona pia watu wakisema Walker na Rose walicheza sn hili nalo si kweli. Hawa Jamaa walikua ni waoga sn kuja hovyo mbele kwasababu wanajua wakipanda mbele hovyo huko nyuma wataadhibiwa.
Chelsea tulilungukiwa ktk umaliziaji tu. Hapo ndio tulishindwa. Tulishindwa kutengeneza nafasi nzuri na ata hizo chache tulizopata hatukuzitumia vzr. Lkn mchezo wa jana ulikua ni wa kawaida sn na uliojawa mbinu nyingi na kuviziana tu....
So far timu bado iko vzr na bado tunaongoza ligi kwa points 5
Mkuu sio KTBFF tunaandikaga hivi KTBFFH,KTBFF mavi matupu manineeeer![]()
![]()
![]()
Uko sahihi mkuu......Ntuzu wewe ni mchambuzi mzuri sana lakini leo niseme wazi kua niliacha kushuhudia game nyingi za Epl na kuamua kua mfuatiliaji mzuri sana wa conte na mfumo wake wa 1 3 4 3
Spurs wapo vizuri sana technically, sababu ni timu ya kwanza ambayo ilifanikiwa kuifunga chelsea kipindi cha kwanza kwa mfumo huu mpya
Nikiizungumzia game ya kwanza puchetino hakuwa na papara ya kufanya marking ndani ya kumi na nane walikua wakipigia nje kitu ambayo iliwapa presha chelsea na kuwafanya waofie japo conte alikuja kubadilisha mchezo kwa sub ya wiliian na fabregas kma unakum ukumbuka...
Nikizungumzia game ya jana puchetino yule wa kwanza alibadirika maana nae ilithibisha kama yeye nae ni muitariano sababu alikuja karibia kabisa na mfumo wa chelsea ambapo wanyama alikua na kazi ya kuvuruga mipango na wakati wings wa spurz walichokifanya kikubwa ni kuforce tokea pembeni kama wana hali ya kuingia na kumfanya moses na alonso kucheza kwa nidhamu wakiofia
Ilienda mbali conte akamuwekea ulinzi harry Kane ambe aliwekwa kama geresha pale kuwatahadharisha chelsea kitu ambacho puchetino aliktumia vizuri kabisa kuwaadhibu japo mlimkamia kane ambae hakuomekana
Spurs waliwazidi kimbinu kwa njia nyepesi sana (lakini ngumu sana) waliweza kupiga pasi zao fupi kwa nyakati flani wakiwaaminisha kua wanataka kumtumia harry kane kwa kupiga penetration pass na niliona marking na intercept za azplicueta na david luis kuizuia mipila isimfikie kabisa hapa walifanikiwa sababu tayari mliamini hpatakua na goli
Ericksen alisahaulika sana sababu tention kubwa ilitokea kwake pale anapotengeneza mashambulizi tu na hii ilikua advantage kwa spurs ata mipila mirefu waliopga mliamini haitakua na madhara sababu akili yenu ilikua imetawaliwa na H kane kumbe hakua na lolote aliwekwa asimame tu pale kuwatishia nyau na mlitishika
Ushauri kama ndugu zangu wa London tufuteni mbadala wa MATIC Itasaidia sana sababu akipatikana mbadala wake huai wa kante utaonekana na fanyeni ima mubadilishe upande wa alonso hapo ntawacount kma mabingwa wa London kinyume na hapo PUCHETINO AMETUFUMBUA MACHO WENGI SANA ENGLAND.
Pundits wengi ninaowasoma leo wanasema either DRAW ama Tottenham WIN. I can't wait to prove them wrong.
- skysports
- dailymail
- goal.com
- standard
We will prove you wrong.

Haijalishi umemuacha mwenzako kwa point ngapi, au umefunga mangapi. Ukiwa pale juu May unapewa kombe lako. Tunafanya tujuacho na tuwezacho sisi kukaa tulipo.13 games mmeshinda mfululizo ila mna gepu ya pt 5 tu?? Dah!!
Kweli avumaye baharini ni papa ila ........
Ndio maneno yenu mkifungwaWakuu poleni sn kwa kupoteza mchezo wetu wa jana....
Nimeona walio chini yetu wamefurahi sn na ghafla uzi umevamiwa na kukimbia sn
Km nilivuyo sema jana huu mchezo hautakua na presha sn kwetu ata km tutapoteza kutokana na timu km Arsenal liverpool kupata matokeo ambayo sio mazuri...
Mpira wa jana ulifanana kila kitu kwa timu zote mbili aina ya uchezaji, mfumo na ata mbinu... Na Spurs hawakua wazuri km walivyokuja darajani kwa round ya kwanza. Spurs wasicheze kwa woga huku wakijaribu kutumia mipira mirefu iliyokua ikipigwa na mabeki wao na Eriksen...
Chelsea waliweza kuwatuliza Spurs na Spurs wakawa ni wa kawaida kwasababu zile pasi za Spurs fupi fupi hazikuonekana kabisa lkn hawa Spurs walitegemea pasi ndefu na ndizo zilizotuumiza.
Nimeona watu wakiwasifia sn Wanyama na Dembele kwamba Walikamata kiungo chote. Hili si kweli. Jana kiungo cha kati cha Spurs kilicheza bila uhuru kabisa kwasababu walikua makini ktk kuimarisha ulinzi na kutumia njia yoyote ile kuwazuia chelsea. Na tumeona rafu kadhaa wamecheza hawa. Chelsea midfielder yao ilikua imerelax vzr na wao wakifanya Marking vzr na kukata passes zote zisifike kwa Kane Dele kitu ambacho kilifanya Kane asionekane uwanjani na kumfanya Eriksen ashuke chini kuchukua mipira ili kapiga pasi ndefu.
Nimeona pia watu wakisema Walker na Rose walicheza sn hili nalo si kweli. Hawa Jamaa walikua ni waoga sn kuja hovyo mbele kwasababu wanajua wakipanda mbele hovyo huko nyuma wataadhibiwa.
Chelsea tulilungukiwa ktk umaliziaji tu. Hapo ndio tulishindwa. Tulishindwa kutengeneza nafasi nzuri na ata hizo chache tulizopata hatukuzitumia vzr. Lkn mchezo wa jana ulikua ni wa kawaida sn na uliojawa mbinu nyingi na kuviziana tu....
So far timu bado iko vzr na bado tunaongoza ligi kwa points 5
Sasa hivi ndo unakuja na haya maneno kama ulikuwa waamini hivyo toka mwanxo mbona hukuja na kuyasema hapa.Inasemakana eti Chelsea alitaka sare lakini kitambaa hakikutosha
Rent boys rekodi ya kaka zenu ngumu kuvunjwa.