









Africa Facts Zone on TwitterHaya mkuu ngoja tuoneLeo Luiz akipewa kadi ya njano ingawa siombei hilo litokee next game utamuona Zouma ndani.....
Nafikiri ni wakati sasa Azpilicueter akapumzika... Ule ufupi wake ni shida wakati mwingine... Tumeona magoli ya Delle ya kichwa km angekuwepo Zouma hapo au Luiz yasingefungwa hayo Magoli.Some words from Antonio Conte in today's conference
Addressing the media on a crisp afternoon at our Cobham training ground, Conte also spoke in detail about a couple of his young players, Kurt Zouma and Michy Batshuayi. Zouma will return on Sunday having not featured for the first team since suffering a cruciate ligament injury last February.
‘ Zouma will start, he is ready to start,’ Conte reported.
Batshuayi is another who will be hoping to impress the boss.
‘I have a good opportunity in this game to see Michy from the start, and this is important,’ Conte said of the Belgian.
Ila EPL ina mambo:
_Chelsea kapoteza lakin bado anaongoza ligi.
_ Mancherster United hata ashinde vipi bado yuko nafasi ya sita.
Kweli kama mwaka wako ni wako tu.
Kaka cahill alkua anahama sana sehem ya kati na kwend kkaba mpra ambayo haimhus anglia goli la kwnz walienda kkba wat wanne wakat ye altakiw arud kati mapemaNafikiri ni wakati sasa Azpilicueter akapumzika... Ule ufupi wake ni shida wakati mwingine... Tumeona magoli ya Delle ya kichwa km angekuwepo Zouma hapo au Luiz yasingefungwa hayo Magoli.
Cahill na Luiz walijitahidi sn kumzuia Kane lkn huyu Delle alileta shida
Lile halikua tatizo kwasababu lengo kubwa walikua wanazuia pass za kupenya ndio maana walienda wanne kumzuia Eriksen na huku Luiz akifanya marking kwa Kane lkn ghafla Eriksen akapiga mpira mrefu yaani pasi ndefu kwa Delle km nilivyosema hapo awali kua Spurs walikua wakitumia pass ndefu baada ya pass zao za upenyaji kuzuiliwa......Kaka cahill alkua anahama sana sehem ya kati na kwend kkaba mpra ambayo haimhus anglia goli la kwnz walienda kkba wat wanne wakat ye altakiw arud kati mapema
swadaktaNafikiri ni wakati sasa Azpilicueter akapumzika... Ule ufupi wake ni shida wakati mwingine... Tumeona magoli ya Delle ya kichwa km angekuwepo Zouma hapo au Luiz yasingefungwa hayo Magoli.
Cahill na Luiz walijitahidi sn kumzuia Kane lkn huyu Delle alileta shida
Utachukua ndoo?
Io so kitu ya kujiuliza mara mbili mzee ...kuna boya mmoja lazima atakufa tuu....Naamini kabisa kuna mkubwa mmoja atapigwa nyingi na chelsea kama kisasi hasa huyo jogoo
Uwezi linganisha interception , tackling ,clearance anazofanya cahil na milner kazi ya beki sio kufunga ku assist ingekuwa hivyo Terry anayo magoli jumla ya magoli mengi kuliko washambuliaji wa Liverpool ,mwisho mchezaji bora ndio ucheza team ya taifa nenda england milner ni chaguo la ngapi na cahil ni chaguo la ngapi.angalizo usiseme ndio maana England hawafiki popoteMilner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?
Uwezi linganisha interception , tackling ,clearance anazofanya cahil na milner kazi ya beki sio kufunga ku assist ingekuwa hivyo Terry anayo magoli jumla ya magoli mengi kuliko washambuliaji wa Liverpool ,mwisho mchezaji bora ndio ucheza team ya taifa nenda england milner ni chaguo la ngapi na cahil ni chaguo la ngapi.angalizo usiseme ndio maana England hawafiki popote
Hawezi kupata number sasa inafaida gani kuwa team ya taifa usicheze ,pembeni yuko Walker ,rose na katikati cahil na stone sasa acheze wapi anatakiwa kuwa bench katikati wako kina dier acheze wapiMilner alishatangaza kustaafu timu ya taifa. Hata alipoombwa abakie alikataa akisema anaelekeza nguvu kwenye klabu yake. Usimfananishe Milner na vitu vya kijinga.