Bao zake nyingi kwa njia ya penaltiMilner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?
Kuna kaukweli fulani hapo.Ntuzu
Mentor
kalou
Ndiyo EPL ilivyo,haina haja ya kutufukuza wageni hapa bali mjipange mechi ijayo na Leicester!Lkn nawakumbusha kuwa mfumo wa Conte ulikuwa exposed na Stoke week jana na ndipo Spurs wameufanyia marekebisho zaidi!
Kama Conte HAJAJA na mfumo mpya week ijayo na Leicester mbele pale Sliman na Vardy tena kwao wanakufunga!Poleni sana ndiyo soka
Chelsea 2 games wamefungwa 4 goalsKuna kaukweli fulani hapo.
Ana ASSISTS ngapi?Sema kafunga penati 5,Milner hajawahi kufunga goal la open play.Milner anacheza fullback while Cahill ni centre back
Ushauri kama ndugu zangu wa London tufuteni mbadala wa MATIC Itasaidia sana sababu akipatikana mbadala wake huai wa kante utaonekana na fanyeni ima mubadilishe upande wa alonso hapo ntawacount kma mabingwa wa London kinyume na hapo PUCHETINO AMETUFUMBUA MACHO WENGI SANA ENGLAND.
A
Ana ASSISTS ngapi?
Mbona hili hamlizungumzii?
Milne ndiye beki wa pembeni EPL mwenye GOLI na ASSISTS nyingi KULIKO beki yyt wa teams 20 za EPL
Kumbuka penalty pia ni ufundi,Benteke kakosa penalty 3 so far!!
FACT!!
Assists zote 3 wakati ni beki wa pembeniHizo assists alizipata akiwa anacheza position ipi?
Defensive prowess yake ikoje?
Hazard/willian wanamjua kwa lipi??? Maybe kwa kupekechwa na hao watu.Assists zote 3 wakati ni beki wa pembeni
Milner ni beki mzuri zaidi wa pembeni ktk EPL
Muulize Sterling au Hazard au Willian wanamjua
2-1 DarajaniHazard/willian wanamjua kwa lipi??? Maybe kwa kupekechwa na hao watu.
Milner ana assist 2 sawa na Blind,Bellerin,Baines,Alonso,Clyne,Rose sio 3 kazidiwa na mabeki wengi tu ukiacha hizo penati alizofunga hana lolote specialAssists zote 3 wakati ni beki wa pembeni
Milner ni beki mzuri zaidi wa pembeni ktk EPL
Muulize Sterling au Hazard au Willian wanamjua
Bao 5 nani anazo?Milner ana assist 2 sawa na Blind,Bellerin,Baines,Alonso,Clyne,Rose sio 3 kazidiwa na mabeki wengi tu ukiacha hizo penati alizofunga hana lolote special
4-Kayle Walker
3-Charlie Daniels,Jose Holebas,Adam Smith
Sidhani kama kuna mchezaji aliyepiga penati nyingi zaidi ya Milner msimu huu,ukiacha hizo penati hana lolote ndio maana Liverpool ni mmoja ya timu iliyofungwa magoli mengi wapo mabeki wengi wenye jumla ya goals+asssist=5,6 na hawajafunga magoli ya penatiBao 5 nani anazo?
Usiniambie lame excuse kuwa ni penalty wkt Benteke anakosa kila siku hizo hizo penalty
Bao 7 zimefungwa au zimesababishwa na Milner msimu huu
Nani beki ana stats hizi?
Assists zote 3 wakati ni beki wa pembeni
Milner ni beki mzuri zaidi wa pembeni ktk EPL
Muulize Sterling au Hazard au Willian wanamjua
Kombe, kikombe au ndoo?Hilo nimeshalisema ila uhakika ni kuwa kwa kikosi hiki hiki na mechi 18 zilizobaki za ligi tuna uwezo wa kuchukua kombe.
Hofu kubwa ni msimu ujao.
Kombe, kikombe au ndoo?
Ndoo mnaweza chukua, kombe sina uhakika.
Muulize Ntuzu ndoo zinapatikana wapi? Mkachukue huko.
Utachukua ndoo?call it however you like it...