Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Conte asipokuja na mbinu mpya Leicester hata kama Sliman na Mahrez hawapo lkn anaweza kukufunga!I will say this again...mvhezaji pekee wa Chelsea ninayehofia ubora wake ni Alonso. Having said that, sidhani kama tutafungwa siku za hivi karibuni mkuu.
Sababu Vardy na Mussa wapo na Ranieri ata copy and paste kwa Spurs wlaichofanya leo na itakuwa easy zaidi kwao sababu beki zao zina nguvu kuliko Spurs