Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Leo zimempata mweweDaaah! Hakika maneno yako hayawezi timia
Mkuu kwa heshima zote, hizi ni dua za kuku
Leo zimempata mweweDaaah! Hakika maneno yako hayawezi timia
Mkuu kwa heshima zote, hizi ni dua za kuku
Tunacheza mpira wa mahesabu.I just hope wewe ni shabiki wa Liverpool maana kama ni united pamoja na kufungwa bado nitakucheka sana!
Jifariji tu, next game Vs Leicester city then Liverpool, zote unapigwa bikra ishatolewaNaona hamu ya dunia tufungwe imetimia at least bado tunaongoza ligi vijana walipambana spurs walikuwa bora
Jifariji tu, umekarishwaTumepoteza battle lakini sio War, the rest of you endeleeni kuburudika na kale kamsemo pendwa,
Mind the Gap
KTBFFH
Sio kwamba siziheshimu mkuu, kila record ina heshima yake. Ila kuvunjwa ni kitu kidogo sanaNadhani utaziheshimu sasa
Bahati mbaya leo haikuchezwa london, ilichezwa mweziniKwao wapi kaka?, Chelsea wako London na Totenham wapo London, kama mechi ya Kwanza walifungiwa London hata hii watafungiwa London
Mwambieni dembele amuachie Kante mpira umekwisha.. nasikia kaenda nae hadi change roomsDembele is a god!! Yaan leo alimfanya Kante awe hana maana
Pedro nadhan haikuwa sku yake.
You guys needed to lose someday so si mbaya

Hata mi sijuiHivi kwa nini Pedro asiwe anacheza left wing badala ya Marcos alonso???? Just thinking...
Sio kwamba siziheshimu mkuu, kila record ina heshima yake. Ila kuvunjwa ni kitu kidogo sanaNadhani utaziheshimu sasa
Kweli kwa dele ali hakuna shidaKaka mchezo utakua mgumu sn mkuu. Kwanza hawa Spurs msimu ule wa majuzi walituharibia mpango wetu ambao tulikua tunataka tumalize ligi bila kufungwa, na hawa Jamaa wakatufunga.... Nakumbuka ule mchezo ulichezwa tarehe moja January na ilikua game yetu ya kwanza ya mzunguko wa pili hawa Jamaa wakatufunga.
Sasa safari hii tunakutana nao tukiwa tunataka kuvunja record za watu kwa kucheza michezo 14 kwa kushinda mfululizo.
Wao Spurs hawataki hii record ivunjiwe kwao nimeona kwa namna moja au ingine wachezaji na kocha wao wamekua wakijitahidi na wakifanya kila linalowezekana kuhakikisha wanamsimamisha chelsea.
Mchezo utakua ni mgumu sn kwasababu karibu waingereza hasa mashabiki wa timu zinazoifata chelsea wanataka chelsea isimamishwe ili kuipunguza kasi ya kutengeneza mazingira ya kua bingwa mapema.
Nimeona maandalizi kwa timu zote huku kila timu ikiwa haina majeruhi ata mmoja. Pia nimeona namna walivyojaribu mbinu hasa Spurs ktk mchezo wao uliopita kwa kufata mfumo wa chelsea na tayari Conte ameshaliongelea hilo. Na ata dawa atakua kaiandaa vzr.
Chelsea wanapaswa kua makini sn na wasifanye makosa ya kijinga kabisa. Spurs wakipoteza mpira hua wanautafuta kwa nguvu sn, sasa ni wakati wa chelsea kumiliki mpira sn na kupiga pass za uhakika fupi fupi na ndefu.
Nataka nione battle ya Wanyama na Dembele kwa Spurs huku kwetu Matic na Kante. Na Moses na Rose na Walker na Alonso. Huko kwa Delle Alli na Ericksen na Kane hakuna shida sn kwasababu Luiz na Cahil na Azpelicuiter watahakikisha hawaleti mazara. Wakati huo huo Spurs watakua na kz kuwazuia Hazard na Pedro na Costa.
Bado Conte anachanganyikiwa ampange nani amuache nani kati ya Faby na Matic.

Mkuu nipo mi niliwaambia mapema wakawa wanabishaMkuu nipm namba yako kuna zawadi nataka niku2mie, bila ya shaka ni ukoo mmoja shee yahaya husein

Labda kiungo Swaumu cha pilauusajili januari hii unatakiwa kukiongezea nguvu kiungo mara nyingi hawa spurs sehemu ya kiungo huwa wanatusumbua sana
Reduced by 1 point. Its just the beginning of droppingNa kweli sisi sio arsenal.
Mind the gap
Naona mkuu umefurahi hatari leo. Hongera sana kwa dua zako kutimiaLeo zimempata mwewe