Hakuna cha kusimama tena Kunguru Mjanja, ndio ujue Tairi Yokohama ndio imekwaa msumari. Itachukua muda kuikarabati, kuiwekea kiraka Tairi hiyo kutokana na kubana matumizi ya hapana kazi tu.Hao walio chini yetu, ilikuwa inwauma sana kuona tunaenda kuvunja record na kukaa kileleni kwa tofauti ya point nane. Sasa tumefungwa wamepata vya kuongea.
This is Chelsea tumefungwa tutasimama tena.
Mkuu mbona tukishinda hutokei hapa???? Yaani hutii team kabisa hadi tufungwe?????Utafurahi zaidi mwezi huu.
Link The Chelsea FC Thread
Unasema?Sio kufungwa tu, hata draw hatujapata,
Man U kutukuta hapana ni ngumu, japo inawezekana kwenye mpira. Ila sitegemei kufungwa tena hapa karibuni. Timu leo imefanya makosa mengi sana ambayo kama watayafanyia kazi tutarudi vizuri.Hakuna cha kusima atena Kunguru Mjanja, ndio ujue Tairi Yokohama ndio imekwaa msumari. Itachukua muda kuikarabati, kuiwekea kiraka Tairi hiyo kutokana na kubana matumizi ya hapana kazi tu.
Uwezekano ni Man. United kuwakuta hapo mlipo.
Utanilipa nini?Mkuu mbona tukishinda hutokei hapa???? Yaani hutii team kabisa hadi tufungwe?????
Na ni kweli msumari tumekwaa, tutabadili tairi na nakuendelea na safari maana spare tunazo. Hatufungi gari na kuenda kutafuta sehemu ya kuziba pancha tuje tufunge ndo tuendelee na safsri.Hakuna cha kusima atena Kunguru Mjanja, ndio ujue Tairi Yokohama ndio imekwaa msumari. Itachukua muda kuikarabati, kuiwekea kiraka Tairi hiyo kutokana na kubana matumizi ya hapana kazi tu.
Uwezekano ni Man. United kuwakuta hapo mlipo.
Na wewe ondoa avatar yako ya kijinga.Acheni kutuma picha zenu za kijinga jinga apaa...
Mzee wa kupiga sound alishasema magari yenu ya mizigo myaegeshe na mpangilie mawe kunusuru tairi zenyu za Yokohama. Hakuna tena mzigo wa kubeba.Na ni kweli msumari tumekwaa, tutabadili tairi na nakuendelea na safari maana spare tunazo. Hatufungi gari na kuenda kutafuta sehemu ya kuziba pancha tuje tufunge ndo tuendelee na safsri.
Acheni kutuma picha zenu za kijinga jinga apaa...
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]Mzee wa kupiga sound alishesema magari yenu ya mizigo myaegeshe na mpangilie mawe kunusuru tairi zenyu za Yokohama. Hakuna tena mzigo wa kubeba.
Kijinga!! Vitu vyizito kama hivi unasema kijinga!!Na wewe ondoa avatar yako ya kijinga.
Wanyama amemfanyia unyama gani tena huyu kijana?Kweli Wanyama sio wa mchezo mchezo.![]()
Kweli ndio maana wanyama na dembele team yao inaongoza ligi maana ni zaidi yao
Tena wewe unaonyesha ni Liverpool. Ngoja tutakuja apo anfield kuweka mambo sawaView attachment 454364Hii ya mwisho boss