Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Matic is good ila kwa game hii hatuhitaji nguvu kubwa kati maana mipira yao bado wanapitisha kwa wingmen.

Ngolo anatosha hapo kati. Ongeza mtu wa kutoa pasi ndefu accurate, Azpilicueta and Luiz wamejaribu ila unaona amnavyo passes zao zimekuwa poor.
Wamuingize sanchez eti
 
Hivi kwa nini Pedro asiwe anacheza left wing badala ya Marcos alonso???? Just thinking...
ni mechi ya visasi hii tulichomfanyia last season ameamua atulipe this season cha msingi tujipange next match
 
Chelsick walibamizwa kwenye Derby na Gunners 3 mtungi, leo wanabamizwa kwenye derby ingine na Spuds 2 mtungi watanyooka tu.
 
Huyu Wanyama ni hatari aisee kanishkia Viungo..Siyo Kante wala Matic aliyeweza kumshka.
 
Hivi aliefunga goli la pili anaitwa Delle au ni Alli?

Mtusaidie tafadhali tunabishana na mshabiki wa Chelsea hapa!
 
Poleni wakuu come back sio lelemama khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Hongereni Spuds mmewanyorosha hawa Mafioso kidogo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ndio EPL hiyo karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom