luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Na amemchoshaaaapedro hana nguvu..amewekwa kumchosha Rose 2nd half aje willian amkute hayupo fiti
Na amemchoshaaaapedro hana nguvu..amewekwa kumchosha Rose 2nd half aje willian amkute hayupo fiti
Wacha maneno tandaza soccerNa bado ni top of the league dont you forget man!
Si naskiaga wana mkali wao wanamwita sijui majanga!!?Wamuingize sanchez eti
Hakuna haja ya usajili January hii.usajili januari hii unatakiwa kukiongezea nguvu kiungo mara nyingi hawa spurs sehemu ya kiungo huwa wanatusumbua sana
Kwa hiyo record mtavunja mwakani. Kitu mechi 14Sasa mkuu tukiweka gap ya point 8 january hii si itakuwa ndio basi tena?, wacha tubakishe utamu wa ligi bana.
Hamtacheza tena na spurs [emoji12] [emoji12] [emoji12] una kante, matic, Moses unataka kiungo gani tena labda kitunguu saumuusajili januari hii unatakiwa kukiongezea nguvu kiungo mara nyingi hawa spurs sehemu ya kiungo huwa wanatusumbua sana
And vice vasa is trurFT
Tot 0-Chelsea 2
Kuna mechi 18 bado kwenye ligi acha kuwa blind!Kwa hiyo record mtavunja mwakani. Kitu mechi 14