Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Weak link imetokea wapi tena?
Unaanza ulalamishi.
Mfumo wa Conte/Kante umegoma leo au ametumia mfumo mpya kwa majaribio?

Nasubiri bandugu etu, Ntuzu anitafute ili tuongee kandanda.
Kesho mkuu wacha nilale
 
Mkuu hata Arsenal alitucheka sana Man Utd na point zake 10 in between, nafikiri unajua kinachoendelea now.
Tushinde tusishinde tupo nafasi ya sita lakini inayowakaribia kila siku.
Inawasaidiaje? Mnashinda..arsenal wins...tottenham wins...mnabaki six! Jipeni matumaini and its just a matter of time Mou atawaweka tena benchi Carrick na Mata..
 
Bahati mbaya leo haikuchezwa london, ilichezwa mwezini
Hongereni Tottenham, lakini zaidi Hongereni ManU, Man C, Liverpool pamoja na Arsenal, naona leo kila mmoja wenu kasahau machungu yake,

Wana Chelsea wenzangu, kufungwa ni sehemu ya Mchezo, hii sio mechi yetu ya kwanza kufungwa kwa msimu huu, lakini bado tunaongoza league kwa gap kubwa tu la point tano
 
Heheheeeee, mulikua na tambo sana, timu zote mukiziona za mchangani, bwamdogo kawashikisha adabu
Tambo na kujiamini kwa timu uishabikiyo ndo tunaita ushabiki na mapenzi ya timu. Kuchambua mechi na kikosi chenu kwa ajili ya ushindi sio kuwa kocha, huo ni unazi kwa timu.

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
Mwambieni dembele amuachie Kante mpira umekwisha.. nasikia kaenda nae hadi change rooms

Tulikuwa na jamaa mmoja amesema Dembele ni material ya kicheza Bayern Munich.
Kumbe kumzuia Kante inawezekana
 
Hongereni Tottenham, lakini zaidi Hongereni ManU, Man C, Liverpool pamoja na Arsenal, naona leo kila mmoja wenu kasahau machungu yake,

Wana Chelsea wenzangu, kufungwa ni sehemu ya Mchezo hii sio mechi yetu ya kwanza kufungwa kwa msimu huu, lakini bado tunaongoza league kwa gap kubwa tu la point tano

Kwenye red ni uongo, hii si kauli ya Ntuzu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom