Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Sio mbaya kujipa moyoMkubwa tena mkubwa sn.......
Sio mbaya kujipa moyoMkubwa tena mkubwa sn.......
Kumbe wewe ndio sanda matuta?Daaah! Hakika maneno yako hayawezi timia
Hahaha kweli aisee...leo mtu atakufa tatuu![]()
![]()
![]()
Usikonde mdau kwa huyu Spurs najua game itakuwa ngumu sana, ila hayo yote tumuachie Conte na vijana wake
Kwao wapi kaka?, Chelsea wako London na Totenham wapo London, kama mechi ya Kwanza walifungiwa London hata hii watafungiwa LondonKumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..![]()
Hapana hazifutiki mkuu. ZinaendeleaHivi mchezaji akipata kadi 4 round ya kwanza, round ya pili kama hii ya january kadi zinafutika?????
Hapana hazifutiki mkuu. Zinaendelea
Kaka mtazamo wako leo vipi? Mechi ya mwisho hatukuwa na Pedro na pia Stock City walifanikiwa kufunga goli mbili kwa kusawazisha ingawa tuliwafunga goli nne,
Asante sana Kaka, hivi kwa Mtazamo wako Matic anastahili kuanza?, Mechi wacheze aina gani ya mchezo?, wa kujilinda au wafungue tu?Kaka mchezo utakua mgumu sn mkuu. Kwanza hawa Spurs msimu ule wa majuzi walituharibia mpango wetu ambao tulikua tunataka tumalize ligi bila kufungwa, na hawa Jamaa wakatufunga.... Nakumbuka ule mchezo ulichezwa tarehe moja January na ilikua game yetu ya kwanza ya mzunguko wa pili hawa Jamaa wakatufunga.
Sasa safari hii tunakutana nao tukiwa tunataka kuvunja record za watu kwa kucheza michezo 14 kwa kushinda mfululizo.
Wao Spurs hawataki hii record ivunjiwe kwao nimeona kwa namna moja au ingine wachezaji na kocha wao wamekua wakijitahidi na wakifanya kila linalowezekana kuhakikisha wanamsimamisha chelsea.
Mchezo utakua ni mgumu sn kwasababu karibu waingereza hasa mashabiki wa timu zinazoifata chelsea wanataka chelsea isimamishwe ili kuipunguza kasi ya kutengeneza mazingira ya kua bingwa mapema.
Nimeona maandalizi kwa timu zote huku kila timu ikiwa haina majeruhi ata mmoja. Pia nimeona namna walivyojaribu mbinu hasa Spurs ktk mchezo wao uliopita kwa kufata mfumo wa chelsea na tayari Conte ameshaliongelea hilo. Na ata dawa atakua kaiandaa vzr.
Chelsea wanapaswa kua makini sn na wasifanye makosa ya kijinga kabisa. Spurs wakipoteza mpira hua wanautafuta kwa nguvu sn, sasa ni wakati wa chelsea kumiliki mpira sn na kupiga pass za uhakika fupi fupi na ndefu.
Nataka nione battle ya Wanyama na Dembele kwa Spurs huku kwetu Matic na Kante. Na Moses na Rose na Walker na Alonso. Huko kwa Delle Alli na Ericksen na Kane hakuna shida sn kwasababu Luiz na Cahil na Azpelicuiter watahakikisha hawaleti mazara. Wakati huo huo Spurs watakua na kz kuwazuia Hazard na Pedro na Costa.
Bado Conte anachanganyikiwa ampange nani amuache nani kati ya Faby na Matic.
Ni kweli mkuu Ila faby kwa upande wangu anafaa japo naofia kadi kwake sababu ya speed yake mdogo ila kwa umuhimu wake wa kupasi anafaa zaidiKaka mchezo utakua mgumu sn mkuu. Kwanza hawa Spurs msimu ule wa majuzi walituharibia mpango wetu ambao tulikua tunataka tumalize ligi bila kufungwa, na hawa Jamaa wakatufunga.... Nakumbuka ule mchezo ulichezwa tarehe moja January na ilikua game yetu ya kwanza ya mzunguko wa pili hawa Jamaa wakatufunga.
Sasa safari hii tunakutana nao tukiwa tunataka kuvunja record za watu kwa kucheza michezo 14 kwa kushinda mfululizo.
Wao Spurs hawataki hii record ivunjiwe kwao nimeona kwa namna moja au ingine wachezaji na kocha wao wamekua wakijitahidi na wakifanya kila linalowezekana kuhakikisha wanamsimamisha chelsea.
Mchezo utakua ni mgumu sn kwasababu karibu waingereza hasa mashabiki wa timu zinazoifata chelsea wanataka chelsea isimamishwe ili kuipunguza kasi ya kutengeneza mazingira ya kua bingwa mapema.
Nimeona maandalizi kwa timu zote huku kila timu ikiwa haina majeruhi ata mmoja. Pia nimeona namna walivyojaribu mbinu hasa Spurs ktk mchezo wao uliopita kwa kufata mfumo wa chelsea na tayari Conte ameshaliongelea hilo. Na ata dawa atakua kaiandaa vzr.
Chelsea wanapaswa kua makini sn na wasifanye makosa ya kijinga kabisa. Spurs wakipoteza mpira hua wanautafuta kwa nguvu sn, sasa ni wakati wa chelsea kumiliki mpira sn na kupiga pass za uhakika fupi fupi na ndefu.
Nataka nione battle ya Wanyama na Dembele kwa Spurs huku kwetu Matic na Kante. Na Moses na Rose na Walker na Alonso. Huko kwa Delle Alli na Ericksen na Kane hakuna shida sn kwasababu Luiz na Cahil na Azpelicuiter watahakikisha hawaleti mazara. Wakati huo huo Spurs watakua na kz kuwazuia Hazard na Pedro na Costa.
Bado Conte anachanganyikiwa ampange nani amuache nani kati ya Faby na Matic.
Mkuu kwa mtazamo wangu Matic aanze kucheza kwasababu akianza huyu Matic basi tunacheza mpira wa kushambulia wakati wote na zile pass ndefu za kuchungulia aachiwe David Luiz ndio azipige.Asante sana Kaka, hivi kwa Mtazamo wako Matic anastahili kuanza?, Mechi wacheze aina gani ya mchezo?, wa kujilinda au wafungue tu?
Umenikoshaaaaaaaa mkuuuMkuu kwa mtazamo wangu Matic aanze kucheza kwasababu akianza huyu Matic basi tunacheza mpira wa kushambulia wakati wote na zile pass ndefu za kuchungulia aachiwe David Luiz ndio azipige.
Akianza Faby basi tutakua tunacheza mchezo wa kujilinda huku tukivizia counter attack kitu ambacho kitakua ni kibaya maana kitawafanya Spurs kucheza ktk eneo letu sn.
Mpira tunaotakiwa kucheza leo tunapaswa kufungua yaani tumiliki mpira na kushambulia sn. Maana hatuna presha ata km tutapoteza huu mchezo kutokana na msimamo wa ligi jinsi ulivyo. Ingawa naona Conte ni muumini sn wa kujilinda. Lkn leo hii atatupa sn burudani lazima hawa Spurs tuwafunge.
Aanze Matic na Kante then Faby aingie baadae tukishaona udhaifu wa Spurs lkn afanyiwe sub Pedro ndio aingie Faby na baadae afanyiwe sub Hazard aingie Willian. Ikiwa hivyo mkuu hawa Spurs tutawasumbua muda wote.
Faby ni mzuri sn lkn km ataanza basi tunatakiwa kacheza kwa kujilinda maana Faby hana nguvu sn na itafanya kuelemewa. Lkn km wataanza Matic na Kante hili jukumu la ukabaji na kupandisha timu litafanywa na wote hawa wawili.Ni kweli mkuu Ila faby kwa upande wangu anafaa japo naofia kadi kwake sababu ya speed yake mdogo ila kwa umuhimu wake wa kupasi anafaa zaidi
Kweli mkuuu tutajilinda sana faby akichezaa ila nilipenda pas zake japo kwa maelezo yako nakuunga mkonoFaby ni mzuri sn lkn km ataanza basi tunatakiwa kacheza kwa kujilinda maana Faby hana nguvu sn na itafanya kuelemewa. Lkn km wataanza Matic na Kante hili jukumu la ukabaji na kupandisha timu litafanywa na wote hawa wawili.
Long passes zinaweza kupigwa na back line yetu wote wale 3. Nimeona Azplicueter anapiga passes km za Faby na Luiz na yeye na Alonso pia. Na Cahill naye anachungulia siku hizi. So Faby aanzie benchi kwanza
Faby leo atacheza na ataanzia benchi.... Lkn leo tunacheza attacking football sn na si defensive game. Leo team work kwa wachezaji wote itakua juu yaani to the maximum.... Usitegemee eti Spurs watutawale. Kwasababu tunataka kuvunja record mbili leo. Ya Spurs kutokufungwa WHL na ile ya Gunners kushinda michezo 14 mfululizo.Kweli mkuuu tutajilinda sana faby akichezaa ila nilipenda pas zake japo kwa maelezo yako nakuunga mkono