BeNNy Mamba
Member
- Jun 21, 2016
- 75
- 66
Hio record cjui mtaivunjia wap[emoji28][emoji28][emoji28] wakat hamjawah shinda white hart lane since 2012... Pochettino hatoniangusha leo
Arsenal alifikisha 13Hii inashikiliwa na arsenal alishinda mechi 14 mfululizo. Tukimfunga Spurs tutakuwa tumewafikia arsenal kwa record. Na next gem tukishinda tutakuwa tumevunja record ya arsenal mkuu.
Mkuu tulia uone mamboHio record cjui mtaivunjia wap[emoji28][emoji28][emoji28] wakat hamjawah shinda white hart lane since 2012... Pochettino hatoniangusha leo
Mkuu siku hizi record ni kitu kidogo sana, inavunjwa muda wowote ule. Na pia records zipo ili zivunjweHio record cjui mtaivunjia wap[emoji28][emoji28][emoji28] wakat hamjawah shinda white hart lane since 2012... Pochettino hatoniangusha leo
Kabisa mkuu.. record kwa sasa sio kitu muhimu sana, jicho kwa sasa ni ubingwa.Mkuu siku hizi record ni kitu kidogo sana, inavunjwa muda wowote ule. Na pia records zipo ili zivunjwe
Hilo haliwezi kutokea..... Tunaujua umuhimu wa hii game.Asante sana pochettino!....Kalisha hawa
Mkubwa tena mkubwa sn.......Ushindi upo leo
Mkubwa tena mkubwa sn.......Ushindi upo leo
Tots leo wanawamaliza!...Hilo haliwezi kutokea..... Tunaujua umuhimu wa hii game.
Daaah! Hakika maneno yako hayawezi timiaAsante sana pochettino!....Kalisha hawa
Mkuu kwa heshima zote, hizi ni dua za kukuTots leo wanawamaliza!...
Bora umemuelesha huyo mprnzi kidumbaki mwenzioHii inashikiliwa na arsenal alishinda mechi 14 mfululizo. Tukimfunga Spurs tutakuwa tumewafikia arsenal kwa record. Na next gem tukishinda tutakuwa tumevunja record ya arsenal mkuu.
Tulia huna unalojua arsenal kafikisha 14Arsenal alifikisha 13
Hata wao wanajua umuhimu wa hiyo gemuHilo haliwezi kutokea..... Tunaujua umuhimu wa hii game.