Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea mmeamua kuanza mwaka kwa kutoa clean sheet........siyo mbaya.
Kama mngeshinda leo ungekuwa ushindi wa 14 mfululizo......sijui mlitaka kutangazwa mabingwa na mechi kumi mkononi?
 
Hamtacheza tena na spurs una kante, matic, Moses unataka kiungo gani tena labda kitunguu saumu
Huu ndo ukweli. Ukifungwa kuna tendency ya kuona kila mtu kakosea.

My only cry tangu mwanzo wa ligi ni Marcos Alonso...viatu vya Ashley Cole vinampwaya sana.

Najua games nyingine tunaweza kushinda ila games kama ya Leicester and Liverpool ingependeza Pedro acheze left wing. Ni mtazamo wangu.
 
Leo Tutaweka Record ya Kushinda mechi ya 14 Mfululizo kwenye msimu mmoja ambayo haijawahi kufikiwa na Timu yeyote ligi kuu Uingereza!
Tumeiyona mkuu, nyinyi kibogo bana
 
Hakuna haja ya usajili January hii.

Pedro for Alonso for all the remaining games. Basi kwangu mimi hiyo ndo weak link tuliyonayo.
Hivi ile record inayoshikiliwa ya 14 consecutive wins ya 14 games mtaivunja lini au ndio kitumbua kishaingia mchanga. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Conte bana anachekesha ati Spuds wameiga formation yenu ya 3-4-3 Aibu!

tweet-816764391773323268-1.png

OptaJoe

OptaJoe

14 – Arsenal’s run of 14 successive wins between Feb-Aug 2002 (over two seasons) remains the all-time top flight English league record. Safe

9:53 p.m. - 4 January 2017
 
Huu ndo ukweli. Ukifungwa kuna tendency ya kuona kila mtu kakosea.

My only cry tangu mwanzo wa ligi ni Marcos Alonso...viatu vya Ashley Cole vinampwaya sana.

Najua games nyingine tunaweza kushinda ila games kama ya Leicester and Liverpool ingependeza Pedro acheze left wing. Ni mtazamo wangu.
Ushatolewa bikra, jitayarishe kwa vichapo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom