Muda bado wekeni akiba ya maneno


.Heheheheheheeeee makocha walikua wengi mchana apaYule kocha wa Chelski JF? Labda anamalizia kupanga kikosi...
Uje na taulo lako ufute udenda na michozi kabisa mkuu kipigo hiki si cha kawaidaHaya msijesema tumekimbia jukwaa....tunaangalia game...maneno baadaye.
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG] [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
Na mimi nawaona mnavyoshinda ase huu mfumo wa 3-4-3 hatari ase na chelsea wanauzoefu naoThe blues lazima tushinde
Lazima awafundushe hawa jinsi ya kutumia 3-4-3 vizuri sio kutujazia mikelele mitaani ya sijui siriii fo upuuziMjomba ali shikamoo
Ata mi naona sio kila timu ni arseno atiKutangulia sio kufika. This is Chelsea.
Utaitamani hata hiyo droo na kuisikia kwa Arsenal tu nduguFor the second half we need Fabregas and Willian in the game even though Pedro hajafanya kosa lolote. I know Hazard ana enjoy dribbling but he needs to get serious and scoring. We don't want a draw, we want a win!
mkuu naona umefurahi sana as if arsenal kashindaUtaitamani hata hiyo droo na kuisikia kwa Arsenal tu ndugu