Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna haja ya usajili January hii.

Pedro for Alonso for all the remaining games. Basi kwangu mimi hiyo ndo weak link tuliyonayo.
Weak link imetokea wapi tena?
Unaanza ulalamishi.
Mfumo wa Conte/Kante umegoma leo au ametumia mfumo mpya kwa majaribio?

Nasubiri bandugu etu, Ntuzu anitafute ili tuongee kandanda.
 
Huu ndo ukweli. Ukifungwa kuna tendency ya kuona kila mtu kakosea.

My only cry tangu mwanzo wa ligi ni Marcos Alonso...viatu vya Ashley Cole vinampwaya sana.

Najua games nyingine tunaweza kushinda ila games kama ya Leicester and Liverpool ingependeza Pedro acheze left wing. Ni mtazamo wangu.
Alonso is good muachen aendelee atakuwa bora zaid.

Mechi ya leo Tot wame wafanyia kilicho wafanya mshinde mechi 13, kwani Rose na Walker waliwashinda Moses na Alonso
Kante alizibwa na Dembele he could barerly move the ball forward.
Pedro ilitakiwa a step up lakini alishindwa kabsa. So backliners wenu wote walifungiwa.
Nadhani tot wamewafunga in your own game, full backs wao na wing backs wote walikuwa on fire, though Chelsea back liners walianza vzuri ila baadaye walipotea.

You guys mmefanya Tittle race irudi kuto kuwa na mwenyewe na kumbukeni mna mechi na Arsenal na Liva, mwez huu mwishoni.

EPL is getting heated ngoja tuone
 
I just hope wewe ni shabiki wa Liverpool maana kama ni united pamoja na kufungwa bado nitakucheka sana!

Mkuu hata Arsenal alitucheka sana Man Utd na point zake 10 in between, nafikiri unajua kinachoendelea now.
Tushinde tusishinde tupo nafasi ya sita lakini inayowakaribia kila siku.
 
Blues tuliopo Tanzania tukalale tuwaachie wenzetu nje ya nchi nachoamini blues wengi tunasifa ya kufanya kazi kwa bidii bado tunaongoza ligi
 
This was bound to happen...the top position is still ours for two more games.

On to the next game...January 14.

Lakini kabla ya hapo...one FA game.
I see umeshawapruv wrong pundit wote. We jamaa mkali
 
Weak link imetokea wapi tena?
Unaanza ulalamishi.
Mfumo wa Conte/Kante umegoma leo au ametumia mfumo mpya kwa majaribio?

Nasubiri bandugu etu, Ntuzu anitafute ili tuongee kandanda.
Tatizo lako unakuja huku tukifungwa tu.

From the very beginning hata tulipomfunga Everton 5 bado nilisema weak link ya Chelsea ni Alonso. I will say that labda kama atabadilika.

And kwa jaribio hili la Pedro leo lazima Conte ameona kitu..alijaribu hivyohivyo baada ya kufungwa na Arsenal na tukaenda mechi 13 bila kufungwa.
 
Mchana wa jana kuna makocha wengi walikuwa kwenye jukwaa hili, nadhani kwa udadavuzi waliokuwa wanatoa, Conte mwenyewe akasome chuo.
[emoji12] [emoji14] [emoji13] [emoji23] [emoji38]

Kesho tutaendelea na uchambuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom