Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nilishangaa oweni anasema chelsea hawezi kuwa bingwa sijui alichambua kwa kutumia akili au upenzi anawapa liver nafasi au man u
 
7d4a2eabc3272cf9bc151c7f4dd3218a.jpg
point tatu swafiiiiii .....waache wale wa upande wa pilii waendeleze makelele ...
 
nilishangaa oweni anasema chelsea hawezi kuwa bingwa sijui alichambua kwa kutumia akili au upenzi anawapa liver nafasi au man u
Yule msamehe bure, mapenz na timu ake ya zaman plus uzee vnachangia mpk anaongea pumba kama izoo
 
Nilikuwa safarini,sijabahatika kuangalia game but naona rafiki zangu wako sahihi kutoangalia game za chelsea maana siyo kwa kumtandika mtu hizo goli
 
IQUOTE="Mentor, post: 19035273, member: 12209"]Bado mbili tumfikie Arsenal...I can't wait!!![/QUOTE]
I'm anxious to break that recordu
 
Kuna mazingira mengi unaweza kuongelea kutokana na hiyo kauli ya Mourinyo.

Mimi nitaongelea mazingira mawili hivi.


Kwanza amesema ukweli hasa ukizingatia nidhamu ya uchezaji wa hiyo safu ya ulinzi na mids zake hazifanyi makosa ya kijinga kijinga. Wachezaji wakiwa uwanjani wanadamu Ktk hiyo hiyo nidhamu kwa dk zote 90.


Kitu kingine Mourinyo ni Mzee wa minds game sasa anajaribu kuwavuruga Ktk hiyo njia maana ameanza kumsifia sn Luiz Ktk hilo kwamba anaiongoza hiyo safu ya ulinzi na kuifanya kua ngumu.


Sizani km anachukia kwasababu yeye mwenyewe Mourinyo ni mlevi wa mfumo wa kulinda sn....
Good point
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom