Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama nilivyofikiri Pedro anapokuwa katikati akizungukwa na harzadihno ma William hatuna pengo la Costa . ni kukenua tu
 
Hii Chelsea bhanaaa, wanacheza kama Mbwa mwitu ushikamano na maarifa kuanzia kwenye benchi la ufundi mpaka wachezaji nzuri sana.

Tunahitaji kuwapa support na sio kuwapenda, sababu kazi waifanyao ni kubwa mno na niyakuridhisha
 
Tutamkosa Pedro kwenye gemu ya stock ni ombi langu kila mwenyekadi nne hazikamilishe kabla ya fixture ngumu
 
......Bao la mkhitaryan tamu lakini offside....bao la Giroud kali lakini ushindi wa Arsenal ni mgumu kama uchaguzi wa Zanzibar....Chelsea ushindi siku hizi kama kupiga mswaki, imekuwa kawaida.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom