Angekua mzuri, conte angemtumia. Jiulize kwanini hajapangwa hata match moja under conte reign???? Conte hataki hata atokee sub. Badala yake ana opt kwa kina loftus cheek, ola aina and chalobah.
Game za leo lazima mkubwa mmoja apunguzwe point
Aisee kuna siku huyu Conte akija kumpanga huyu Obi mtaona AibuHaaa haaa bro, obi angecheza tungepigwa mkono, believe me. Obi hana kitu ndo maana "conte"-taylor anataka tu amuuze china au maseile kama sio league za wazee/vijeba SERIE A.
Counter attack zote ni za kawaida sn sio km zilisababishwa na kasi. Mfumo wa kua na wachezaji watu mbele unaruhusu ufanye CounterHukuona game na mancity, jinsi akina willian+hazard+costa walivopiga zile counter na zote zikazaa magoli???? Utaweza piga counter kama huna kasi??? Utapiga counter attack ukiwa na kiungo obi anayerudisha mpira kwa kipa anytime.
Ila nahisi huyu ntuzu sio yule ninaesomaga comments zake,au hang over ya jana bado ipo kichwani
Conte anapenda watu wenye uwezo wa drive mipiraHivi Pedro anaweza kucheza kama top striker kweli?....
any way ngoja tuone kwa sababu yeye ndo yupo nao mazoezini anawajua vzr , but I thought kwamba hii ndo ilikua game ya Batshuayi kuonesha kiwango