Kwa kwa kwa kwaAsante sana!
Hata Mama Clinton aliwahi ongoza lkn Trump ndiye Rais wa USA
I beg to remind you!
Asante sana!
Hata Mama Clinton aliwahi ongoza lkn Trump ndiye Rais wa USA
I beg to remind you!
Nawe pia mkuuSoccer Family!!
We watch,we enjoy!
Marry Xmass and Happy new year
wewe na Familia yako
Mkuu huyo ndugu yetu mchukulie pouwa ata akiandika pumba wewe mpotezee tuUmetumwaaa??
Mpk tufie madarakaniSisi ni kama Mugabe...! Hatutoki tukishafika.
Sawa mkuuMkuu huyo ndugu yetu mchukulie pouwa ata akiandika pumba wewe mpotezee tu
na continho je?Brazil wana ficha umri kama Afrika tu
Oscar ni zaidi ya 30 yule
Diego Costa ana 40+
Wapi malafyale, enzo kakuweka kizimbanina continho je?
Marry xmas to yu too.

Huwa napenda watu wenye confidence kama wewe. Ambaye ata ukifungwa bado unajipa hope. Any i cant judge your opinion lets wait and see which team will win Epl title.....!!!! But husichanganye mada yaani umri na trophy.
Malafyale mtabaki na historia kama ya Arsenal trophy tumeisha chukua mara kibao. Na majogoo wamechukuwa mwaka gani ebu nikumbushe tafadhaliAsante sana!
Hata Mama Clinton aliwahi ongoza lkn Trump ndiye Rais wa USA
I beg to remind you!
tuko kwenye kiwango chetu huu msimu ni wetu kwa kila tunapo ongoza ligi mpaka xmass uwa tunachukua sisi sio watu wa masihala tukishika usikani