Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Majukumu ya kujilinda hayatekelezwi na hao mabeki watatu tu. Timu inalindwa na mabeki 5 na viungo 2 muda wote na wakati mwingine mpk viungo washambuliaji wanarudi kulinda yani unakuta timu iko na mabeki watano viungo wanne yani 9. Ni Costa tu ndio anabaki huko mbele kwa muktadha huo timu haijilindi?Inashangaza sana kuona kuwa mabeki 3 nyuma halafu unatuhumu timu kujilinda?
Chelsea ya sasa iko more defensive sn kuliko ata ile ya Mourinyo.