Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hujafika hata "rusumo road" kuelekea rwanda kwa mtoto wa "ki-tusi". Haa haaa saa 18:00 EAT, inabidi uwaangalie mabingwa wa EPL.
hahahaaa mkuu 18:00 itakapo nikuta hapo hapo naahirisha safari niwaanfalie mabingwa.. nitaendelea Kesho kuna wakati huwa nawaza eti nisipo angalia game et Chelsea anaweza kupoteza... nauli kitu gani bana mbele ya ubingwa
 
Anauzwa january, atimkia zake maseile ya ufaransa. Huko ndo akacheze na wachovu wenzie.
Sizani km unaongea kwa mtazamo wa ndani zaidi.

Mpira ni km mchezo wa mwasumbwi jinsi ulivyo.

Mabondia wote lazima wawe na watu wao wa ktrain nao Ktk mazoezi tena unaweza kukuta ni mijitu mikubwa yenye uwezo sn na hiyo mijitu badae huwa Mi bandia mizuri sn unaweza kurejea kwa Mohamed Ally na Joe Freizer. Huyu Joe Freizer alikua spaling patner wa Ally na mwaka 1979 Mohamed Ally alikuja akapigwa na kibarua wake.

Sasa Ktk team ya mpira wa miguu kocha anawahitaji wachezaji wote on training session na hawa kina Obi huko lazima washiriki na wanawafanya vzr sn ndio maana anawahitaji hawa. Kwasababu uimara wa kina Kante au Ktk mazoezi huwezi kuupata km hawa kina Obi hawapo na ata mbinu zote anazopanga kocha kukabiliana na timu yoyote ile haziwezi kwenda Sawa km anawakosa hawa wachezaji Ktk mazoezi.

Kwahiyo tusione km wachezaji fulani hawafai na waondoke eti kisa labda hawapangwi Ktk michezo hapo tutakua hatuko sahihi kabisa.

Kila mchezaji Ktk timu ni muhimu sn na dio maana yuko hapo na kuna baadhi ya game huwa tough sn hivyo kocha lazima ahitaji huduma ya mchezaji yoyote.

Kwa mfano Ktk game yetu na Spurs hii ya tarehe 4 January, hiyo game ni ngumu sn km mimi ningelikua ni kocha kwa ma- DM hawa watatu yaani Matic na Kante na Obi, Matic angeanzia benchi maana hawa kina Chalobah hawajafika kiwango cha kina Obi ingawa namuelewa vzr Conte ni kwanini wakati mwingine anawapa nafasi hawa makinda kina Chalobah.

So tusipende kua wakosoaji sn wakati Obi kafanya mambo makubwa sn Ktk team yetu. Tusubiri km atauzwa basi tutamtakia kila la kheri huko na km atabaki basi ujue kua ana umuhimu sn Ktk team ndo maana hauzwi.
 
hahahaaa mkuu 18:00 itakapo nikuta hapo hapo naahirisha safari niwaanfalie mabingwa.. nitaendelea Kesho kuna wakati huwa nawaza eti nisipo angalia game et Chelsea anaweza kupoteza... nauli kitu gani bana mbele ya ubingwa
Mkuu chelsea/blue lions ya conte inakupa bashasha/shamsham ya kuiangalia due to "attractive football+pass mvua+pass ruler+mpira mzuri.
 
Sizani km unaongea kwa mtazamo wa ndani zaidi.

Mpira ni km mchezo wa mwasumbwi jinsi ulivyo.

Mabondia wote lazima wawe na watu wao wa ktrain nao Ktk mazoezi tena unaweza kukuta ni mijitu mikubwa yenye uwezo sn na hiyo mijitu badae huwa Mi bandia mizuri sn unaweza kurejea kwa Mohamed Ally na Joe Freizer. Huyu Joe Freizer alikua spaling patner wa Ally na mwaka 1979 Mohamed Ally alikuja akapigwa na kibarua wake.

Sasa Ktk team ya mpira wa miguu kocha anawahitaji wachezaji wote on training session na hawa kina Obi huko lazima washiriki na wanawafanya vzr sn ndio maana anawahitaji hawa. Kwasababu uimara wa kina Kante au Ktk mazoezi huwezi kuupata km hawa kina Obi hawapo na ata mbinu zote anazopanga kocha kukabiliana na timu yoyote ile haziwezi kwenda Sawa km anawakosa hawa wachezaji Ktk mazoezi.

Kwahiyo tusione km wachezaji fulani hawafai na waondoke eti kisa labda hawapangwi Ktk michezo hapo tutakua hatuko sahihi kabisa.

Kila mchezaji Ktk timu ni muhimu sn na dio maana yuko hapo na kuna baadhi ya game huwa tough sn hivyo kocha lazima ahitaji huduma ya mchezaji yoyote.

Kwa mfano Ktk game yetu na Spurs hii ya tarehe 4 January, hiyo game ni ngumu sn km mimi ningelikua ni kocha kwa ma- DM hawa watatu yaani Matic na Kante na Obi, Matic angeanzia benchi maana hawa kina Chalobah hawajafika kiwango cha kina Obi ingawa namuelewa vzr Conte ni kwanini wakati mwingine anawapa nafasi hawa makinda kina Chalobah.

So tusipende kua wakosoaji sn wakati Obi kafanya mambo makubwa sn Ktk team yetu. Tusubiri km atauzwa basi tutamtakia kila la kheri huko na km atabaki basi ujue kua ana umuhimu sn Ktk team ndo maana hauzwi.
Mkuu obi kipindi chake kishapita, inshort haendani na kasi ya chelsea, sawa kafanya mambo makubwa at the past but currently he is no longer. Guss hiddink last season alijaribu kumtumia sana ila at the end kiungo kilikuwa kinaelemewa sana and the whole team. Obi should play in the "mediocrecity team" e.g maseille+china+etc. January hapo tu anauzwa. He is no longer in conte's plan.
 
Mourinho kesha kata tamaa

“You have to be honest and say that is very difficult (to catch Chelsea). It’s not just the difference in points, it’s also the Chelsea philosophy of playing,” the Portuguese manager said.

“They score one goal and they win. They defend a lot. They defend well… They don’t care what people say, what people think. They just want to win. And, because of that, I don’t see them losing many points.”
 
Labda mkuu tujaribu kutanua mjadala na kwenda deep zaidi. Nitakuuliza maswali nawe nitaomba unijibu kadri ya uwezo wako.

Kwa sasa chelsea inacheza mpira wa kasi sn na kumiliki mpira km Barca ndio maana inashida mpk Obi ashindwe kucheza???

Karibu sn
 
Yuko sahihi kabisa na si km amekata tamaa chelsea wanapaki bus na kujilinda sn kuliko timu zote hapo England.
 
Kwahivyo analaumu au anasifia mfumo 3-4-3 wa Chelsea ya Conte..!?
 
Kilichobaki sasa hivi ni ushabiki na mahaba ya wachezaji tumekosa sababu za kulaumu kabisa,naomba nikuulize mkuu unataka obi acheze badala ya nani pale? matic au kante ? maana kama tuna wachezaji wazuri tu lakini wanakaa benchi sasa je kocha anapanga kikosi chake kinachotupa sababu za kutamba mitaani lakini sisi tunataka fulani acheze badala ya fulani ili hali kocha kaona siyo sahihi na yupo nao mazoezini kila siku,obi anataka acheze kocha kocha nae anaona obi hafiti kwenye mfumo wake,so hakuna jinsi ni kumuuza tu
 
Kuna mazingira mengi unaweza kuongelea kutokana na hiyo kauli ya Mourinyo.

Mimi nitaongelea mazingira mawili hivi.

Kwanza amesema ukweli hasa ukizingatia nidhamu ya uchezaji wa hiyo safu ya ulinzi na mids zake hazifanyi makosa ya kijinga kijinga. Wachezaji wakiwa uwanjani wanadamu Ktk hiyo hiyo nidhamu kwa dk zote 90.

Kitu kingine Mourinyo ni Mzee wa minds game sasa anajaribu kuwavuruga Ktk hiyo njia maana ameanza kumsifia sn Luiz Ktk hilo kwamba anaiongoza hiyo safu ya ulinzi na kuifanya kua ngumu.

Sizani km anachukia kwasababu yeye mwenyewe Mourinyo ni mlevi wa mfumo wa kulinda sn....
 
Ntuzu
Yuko sahihi kabisa na si km amekata tamaa chelsea wanapaki bus na kujilinda sn kuliko timu zote hapo England.
Hapa ni ngumu kukubaliana nawe mkuu huwezi kunambia chelsea wanapaki bus wakati wana goal more than 16 kwa mechi 5 tu,je wao wanaoshambulia wana goal ngapi walizofunga na kufungwa? anashindwa tu kusema chelsea wana beki imara isiyofungika kirahisi
 
Hizi ni bangi za mchana mfumo una beki 3 viungo 4 washambuliaji 3 halafu unasema wanajilinda je mfumo wa 4-4-2 unakuwaje,au 4-5-1 upoje,mou naona kachanganyikiwa aisee
Mfumo wa 3-4-3 ni kama mnakua 13 uwanjani, ni sawa na 5-4-5 nyuma ni kama mko watano wakati wa kulinda na kwenye kushambulia mnaenda watano cha muhimu ni kuwa na wingback na viungo wasiochoka
 
Hizi ni bangi za mchana mfumo una beki 3 viungo 4 washambuliaji 3 halafu unasema wanajilinda je mfumo wa 4-4-2 unakuwaje,au 4-5-1 upoje,mou naona kachanganyikiwa aisee
Inashangaza sana kuona kuwa mabeki 3 nyuma halafu unatuhumu timu kujilinda?
 
Yaani nabaki kucheka tu,labda anacheza na akili za conte kama ntuzu alivyosema,vinginevyo basi kaishiwa mbinu huyu
Kauli yake imelenga kubeza mafanikio baada ya kutoka yeye

Na Conte sio mtu wa vyombo vya habari bila shaka hatasikiliza hizi lawama, kwavile hata baadhi ya Timu zilipocheza na Chelsea ziliiga mfumo lakini hawakuweza kupata matokeo,waliishia kugongwa tu
 
Labda mkuu tujaribu kutanua mjadala na kwenda deep zaidi. Nitakuuliza maswali nawe nitaomba unijibu kadri ya uwezo wako.

Kwa sasa chelsea inacheza mpira wa kasi sn na kumiliki mpira km Barca ndio maana inashida mpk Obi ashindwe kucheza???

Karibu sn
Mkuu hujiulizi kwanini fabregas hana namba starting 11??????? Wewe kwa akili zako obi ni mzuri kuliko fabregas/matic/kante?????? Obi ni mzito hilo liko wazi kama upara wa gurdiola, sijajua unampendea nini obi, mbona terry kapoteza namba mbele ya luiz na terry kaona ni sawa ili mradi team inashinda. Obi wa saizi sio wa kiwango/kasi ya chelsea, pale wanatakiwa watu wa ukweli kama "verrati/naingoland/.
 
Kilichobaki sasa hivi ni ushabiki na mahaba ya wachezaji tumekosa sababu za kulaumu kabisa,naomba nikuulize mkuu unataka obi acheze badala ya nani pale? matic au kante ? maana kama tuna wachezaji wazuri tu lakini wanakaa benchi sasa je kocha anapanga kikosi chake kinachotupa sababu za kutamba mitaani lakini sisi tunataka fulani acheze badala ya fulani ili hali kocha kaona siyo sahihi na yupo nao mazoezini kila siku,obi anataka acheze kocha kocha nae anaona obi hafiti kwenye mfumo wake,so hakuna jinsi ni kumuuza tu
Mkuu umemuuliza swali zuri sana, nasubiria jibu atakaloleta mkuu ntuzu.
 
Mkuu hujiulizi kwanini fabregas hana namba starting 11??????? Wewe kwa akili zako obi ni mzuri kuliko fabregas/matic/kante?????? Obi ni mzito hilo liko wazi kama upara wa gurdiola, sijajua unampendea nini obi, mbona terry kapoteza namba mbele ya luiz na terry kaona ni sawa ili mradi team inashinda. Obi wa saizi sio wa kiwango/kasi ya chelsea, pale wanatakiwa watu wa ukweli kama "verrati/naingoland/.
Mkuu nilichouliza ni kingine na wewe umejibu kitu kingine kabisa sijui hukuelewa swali langu? Nafikiri hii mada ni ngumu tuiache mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom