Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #35,381
Narudia tena, Chelsea hachukui ubingwa msimu huu. Sio kila anayeongoza ligi by Xmas lazima awe bingwa. Siwalazimishi mkubali ila mwezi Wa tano mwakani nitawafukulia hii post No. 35392
Nisawa usemacho sio kila anaekaa juu baada ya Christmas anachukua ligi ila mara sita kati ya saba wamechukua na Chelsea akifanya hivyo mara nne, hiyo moja ni Liverpool ndo haikuchukua.