OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ahahahahaha....
Chelsea kashinda ngap mzeeeeUsiulize nan kashinda uliza CHELSEA kashinda ngapi
3 bila mkuuChelsea kashinda ngap mzeeee
Yaani hizo mechi 12 tumekusanya point 36 non stop..!!Aiseeee hadi raha
12 mpigo
Hivi Pedro anaweza kucheza kama top striker kweli?....
any way ngoja tuone kwa sababu yeye ndo yupo nao mazoezini anawajua vzr , but I thought kwamba hii ndo ilikua game ya Batshuayi kuonesha kiwango