nilijua tutashinda, ingawa kipindi cha pili hadi dk 80 arsenal walipiga mpira vibaya sana - they had no change hasa kwa cech ambaye kweli aliokoa kama michomo 3 ya wazi. it was special perfomance hasa kwa JT - Ambaye amekuwa gumzo huko na dunia nzima kwa kutembea na kimwana vannesa - Timu nzima ilikuwa imeamua kumfariji.
Pamoja na kupoteza Uongozi wa timu ya taifa ya Uingereza, Mr Chelsea hakuteteleka kuwaongoza vijana wa darajani jamaa alikuwa nguzo ya defence - kwa wale mnaomjua fab's jana alipotezwa -
Drogba he is in another class - goli la pili ndo limenipa raha saaana - hebu pata hints
a) Ni break toka golini kwetu -- lapard anaupata mpira anakimbia nao - mabeki wa arsenal wapo 3 wanagawanyika kukaba.
b) Anelka, Malouda na Drogba wote wanakimbia mbele, Drogba kulia, Anelka katikati na Malouda kushoto.
b) Drogba anakimbilia kulia zaidi kwa uwanja - anaiombaaa - Lapard bila hiana anatoa pande kali analikamata mzee mzima Didieee
c) Anapiga hatua tatu mbele - mabeki 2 wanamfuata wakijua lazima apige cross langoni wanajitahidi ku - block hiyo cross endapo atapiga
d) Mwanaume anabinya - (kama analia) wanapitilizaaa haoooo
e) anageuka kitendo bila kuchelewa - defender wa tatu kafika anapigwa chenga - na kufumua shuti kali la mguu wa kushoto - No chance for goalkiper - goli la pili.
Acha alilowakosa kwa free kiki mita 25 mzee - ikagonga mwamba
This guy is a world class striker - tukatae tukubali.
Who is Next ????
http://www.chelseafc.com/page/LatestNews/0,,10268~1958812,00.html