Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wakooo wapi hawa? haoooooooooooooooooooo popote mlipo na kelele zenu.kiko wapi sasa? endeleeni kushangilia kombelenu mafichoni huko.
 
Game Over Everton 2 Chelsea 1,poleni sana..Niliwaambia juzi mimi ligi ngumu hii,haitabiriki mkaongea,yako wapi?.Bado Liver,Man Utd na Tottenham wanawasubiri....Na bado
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (2 members and 5 guests)
Sanda Matuta,Peasant,Masanilo,Mvina,ELNINO,AljuniorTz,Invisible,Pape,Ab-Tichaz

Hongereni kwa ushindi wakuu🙂🙂🙂
 
wakooo wapi hawa? haoooooooooooooooooooo popote mlipo na kelele zenu.kiko wapi sasa? endeleeni kushangilia kombelenu mafichoni huko.

Game Over Everton 2 Chelsea 1,poleni sana..Niliwaambia juzi mimi ligi ngumu hii,haitabiriki mkaongea,yako wapi?.Bado Liver,Man Utd na Tottenham wanawasubiri....Na bado

Wacha1, weka picha bana! 😀😀😀
Kumbe mpo?! Sijawaona Jumapili nikafikiri mmeji-Omondi....anyway hongereni kwa ushindi dhidi ya Litterpool angalau mnajihakikishia nafasi ya tatu.
 
Ilitakiwa iwe 3 kwa 1, sema Saha amezidisha Fair Play, hadi penati fair play.......duuuh! nimeotta na mechi ifuatayo mtafungwa hivihivi.......siku ya mechi na wataalamu wa mpira dunia a.k.k Arsenal huyu kocha wa Everton alikuwepo, ulidhani alikuja kumpa pole Terry?........Poleni wakuu, inauma sana eti, eeeeeeeeeeeeh
 
ujumbe huu kwa washabiki wote wa chelsea:
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
 
Tabu ya Zzz Gonaz wakishinda wanaona kuwa mwaka huu adi treble yao, wakifungwa, ona wanavyopondana na kumsiliba Wenger utadhani sio hawa hawa, kudadadeki, kueni na msimamo nyie, msiwe kama ocean tides.
Tehetehe, Ab Tchaz!, Lol...mjomba, salaamu umezipata?, Lol..!, pole mgosiii!
 
Kumbe mpo?! Sijawaona Jumapili nikafikiri mmeji-Omondi....anyway hongereni kwa ushindi dhidi ya Litterpool anagalau mnajihakikishia nafasi ya tatu.

Shikamo mkuu! Nilikuwa naulizia eti matokeo leo vipi? sisi Arsenal tumepata point 3........Natanguliza furaha kama nimekukwaza
 
Kumbe mpo?! Sijawaona Jumapili nikafikiri mmeji-Omondi....anyway hongereni kwa ushindi dhidi ya Litterpool anagalau mnajihakikishia nafasi ya tatu.

Jumapili tulikuwepo na nikawambia hapa kwamba mna gemu ngumu zimebaki...Sema wewe leo ndo ulipotea but umekuwa shujaa kwa kuibuka japo dakika ya mwisho...Masanilo na Invisible wamezimia bin kupoteza fahamu...lol
 
Tabu ya Zzz Gonaz wakishinda wanaona kuwa mwaka huu adi treble yao, wakifungwa, ona wanavyopondana na kumsiliba Wenger utadhani sio hawa hawa, kudadadeki, kueni na msimamo nyie, msiwe kama ocean tides.
Tehetehe, Ab Tchaz!, Lol...mjomba, salaamu umezipata?, Lol..!, pole mgosiii!

Sema wewe ni msitaarabu sana ilibakia kidogo utututane!...sorry, na wewe ni akina peasant na masanilo?
 
Jumapili tulikuwepo na nikawambia hapa kwamba mna gemu ngumu zimebaki...Sema wewe leo ndo ulipotea but umekuwa shujaa kwa kuibuka japo dakika ya mwisho...Masanilo na Invisible wamezimia bin kupoteza fahamu...lol

Eti Masanilo na Invisible hawaamini macho yao.....afadhari mkuu peasant yeye anafahamu kuwa Chelsea leo walikuwa wamechoka maana jumapili walicheza mpira utazani fainali ya kuingia mbinguni kule paradiso
 
Game Over Everton 2 Chelsea 1,poleni sana..Niliwaambia juzi mimi ligi ngumu hii,haitabiriki mkaongea,yako wapi?.Bado Liver,Man Utd na Tottenham wanawasubiri....Na bado
Hizo mechi kubwa hazitupi shida, ndio game zetu hizo kwa taarifa yako, nafikiri nyie wenyewe Arse mnajua hili. Tutafungwa na timu ndogo sio hizi😱.
 
Ilitakiwa iwe 3 kwa 1, sema Saha amezidisha Fair Play, hadi penati fair play.......duuuh! nimeotta na mechi ifuatayo mtafungwa hivihivi.......siku ya mechi na wataalamu wa mpira dunia a.k.k Arsenal huyu kocha wa Everton alikuwepo, ulidhani alikuja kumpa pole Terry?........Poleni wakuu, inauma sana eti, eeeeeeeeeeeeh
Hahahaha! Kawaida, ndio mpira....ahsante. Ukisema Saha angefunga penalty maana yake kunakuwa hakuna umuhimu wa kipa, hayo ni matukio ya mpira kama amabavyo refa amwemwachia Fabreagas aliponawa mpira waziwazi.
 
Hodi hodi wenyewe Nawatafuta Invisible Chelsick's, Masanilo aka Kikojozi nimemuona peasant moja kwa mbali tu. Khe khe khe khe

Everton 0 - 3 Chelsick khe khe khe khe khe
 
Tabu ya Zzz Gonaz wakishinda wanaona kuwa mwaka huu adi treble yao, wakifungwa, ona wanavyopondana na kumsiliba Wenger utadhani sio hawa hawa, kudadadeki, kueni na msimamo nyie, msiwe kama ocean tides.
Tehetehe, Ab Tchaz!, Lol...mjomba, salaamu umezipata?, Lol..!, pole mgosiii!

Usiseme tabu ya Zzzz Gonaz,ni watu kama Masanilo ndo hutufanya tuongee hivi...Tukifungwa wanachonga mnoooo,ila wao mambo yakiwaendea doro hawaonekani hapa,wanaufyata mkia...Ligi bado ni ngumu na title bado haina mwenyewe bana,tulivyofungwa na Man Utd na Chelsea kuna watu hapa walituyambia tuusahau ubingwa,kwamba ubingwa ni wa aidha Man Utd ama Chelsea(Chelsea kalambwa leo na Man Utd kaponea chupuchupu)...Kuna watu walidiriki hata kusema kwamba tutaaambulia pointi moja tu(ya Aston Villa,kwamba na Liver wanatufunga)..

All in all nafurahi kumalizana na Man Utd,Chelsea na Liverpool,nina amani sasa,presha kwisha kabisa...Bingwa atajulikana(labda) katikati ya April
 
ujumbe huu kwa washabiki wote wa chelsea:
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
If you believe that, then usiseme Le Arse wana easy games zilizobaki sababu huwezi kutabiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom