Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Endelea kushika pu...... Asipate hat trick
Ashike Pumzi si atapasuka? Waulize Wacha na Wenger pamoja na GT wako wapi leo hii!
Endelea kushika pu...... Asipate hat trick
Endelea kushika pu...... Asipate hat trick
Utafanyaje sasa hata kama wanarukaruka wakipata nafasi zao wana-capitalize. At end of the day goals are all that count. Hii ngoma utashangaa itapoisha droo. Mimi ni neutral.Chelsea kwa kweli wanarukaruka tu lakini ndio hivo wanaongoza.
Utafanyaje sasa hata kama wanarukaruka wakipata nafasi zao wana-capitalize. At end of the day goals are all that count. Hii ngoma utashangaa itapoisha droo. Mimi ni neutral.
 
You saw your pensioners today Kwishnei.
Ila Drogba ni bonge la striker wakuu
Hapana kiongozi. Ukiangalia mechi ya ManU, nao walitumia mbinu hiyohiyo. Wanawaachia Arsenal wachezee mpira ila wanawasubiria kwenye breaks. Na Chelsea lwo ni ivoivo. Wameshajua cha kufanya.
Kama nilivyotabiri bado goli 2.
cha ajabu wenger hajajua hilo hili aweze kuwa control mabeki wake.Hapana kiongozi. Ukiangalia mechi ya ManU, nao walitumia mbinu hiyohiyo. Wanawaachia Arsenal wachezee mpira ila wanawasubiria kwenye breaks. Na Chelsea lwo ni ivoivo. Wameshajua cha kufanya.
Kama nilivyotabiri bado goli 2.
Mechi ile Arsenal walivyochabangwa 3 kwa mtungi, Wenger alisema ati hakuona kitu alichofanya Drogba.
Probably leo anaona vitu vinavyofanyika!