Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo la Arsenal ni kwamba hatuna washambuliaji wa aina ya Wayne Rooney na Didier Drogba.hivi vitoto tulivyonavyo vinarukaruka tu pale mbele(Arshavin na Walcott hakuna lolote wanalofanya angalau Nasri kwa mbaaaaaaaaaali kajitahidi hii 1st half)

Mabeki Vermaelan na Clichy wamekuwa tatizo tangu mechi na Man Utd,wamelegea sana tofauti na Sagna na Gallas,wanatakiwa kubadilika

Kwa upande wa kiungo wamecheza vizuri sana hawa Song,Diaby na Fabregas,wamejitahidi sana na wanajaribu kupeleka mipira mbele lakini ndo hivyo hatuna washambuliaji tulionao wanacheza sana ule mpira wa 'anao anao' nadhani lengo lao ni kumpiga kwanza chenga kipa ndo wafunge magoli(nammiss sana Robin Van Persie),nadhani Wenger atajifunza hapa na ubahili wake,anatakiwa asajili washambuliaji wazuri na wenye nguvu(kama Rooney na Drogba)

Kipa ndo bure kabisa,hawezi kabisa kuji'position' pale langoni kafungwa magoli ya kijinga(hata kama ni uzembe wa mabeki),hajui kukaa vizuri golini...Sijui kwa nini AW anambania dogo Vito Manone

Ni bora AW amtoe Walcott amuingize 'kumbakumba' Bendtner yeye anaweza kufunga maana hajui chenga wala nini so hujaribu kufunga hata kwa mbali

Otherwise Arsenal tutegemee kufungwa magoli mengine kipindi hiki cha pili kama tutaendela kucheza mpira huu wa kibishoo

Hongereni sana Chelsea,mmepata nafasi mmezitumia ipasavyo na wala hamtaki marangirangi wala nini
 
Poleni ze Ganaz, Mchezo ni dakika 90 teh teh teh ombeni Mungu
 
Ni kweli golikipa naona hayupo imara sana. Kipindi kile ameumia akakaimu Vito Manone dogo yule alicheza vizuri mno. Ila nafikiri AW ameishiwa mbinu za ushindi hasa wa mechi ngumu na kubwa. Lakini sijui kwa nini naamini kuwa Arsenal wanapata goli ndani ya dakika ya 60. Wakipata la kwanza hali ya hewa itaweza kubadilika. Tusubiri tuone.
 
hivi huyu kipa hamkujua bomu si mngesajili kipa wakati wa dirisha dogo?hata kwa mkopo mngemchukua Muharami wa Taifa starz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom