Am right here praying for my team!
Go Chelsea... Namsubiri Wacha aje kuharibu tu 🙁
makipa wako wadogo wale fabianski na mannone wazuri kuliko hili sanamu la AW.Sema ndio hivyo proffesa hakosei yeye tunasema "Arsene knows".hivi huyu kipa hamkujua bomu si mngesajili kipa wakati wa dirisha dogo?hata kwa mkopo mngemchukua Muharami wa Taifa starz
makipa wako wadogo wale fabianski na mannone wazuri kuliko hili sanamu la AW.Sema ndio hivyo proffesa hakosei yeye tunasema "Arsene knows".
Haya kwa wana ARSE hitma itahitimishwa na Porto kutilia sign kwenye another trophiless season.
Mechi ile Arsenal walivyochabangwa 3 kwa mtungi, Wenger alisema ati hakuona kitu alichofanya Drogba.
Probably leo anaona vitu vinavyofanyika!
Hamkosi visingizio... We nenda tu ukafikirie match dhidi ya L'pool. Mkifungwa hiyo basi... Mtakuwa mmefulia na kukamulia kabisa!Si unaona mnavyobebwabebwa?
Hamkosi visingizio... We nenda tu ukafikirie match dhidi ya L'pool. Mkifungwa hiyo basi... Mtakuwa mmefulia na kukamulia kabisa!
.....We nenda tu ukafikirie match dhidi ya L'pool. Mkifungwa hiyo basi... Mtakuwa mmefulia na kukamulia kabisa!
Mnadhani na ya Liverpool tutashindwa...hapana, tukisindwa sitafungua JF for 5 mins that day after the match....