Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kaka hapo umeongea point - watoto walale - saa hizi time mbaya tubaki sisi wazee -

Mafahali wawili - ha ha ha ha - mwaka huu tunaipeleka hadi kwenye wayaa.

Asenali, liva wasubiri mwakani -

Ila kaka Kumbuka UEFA mtoano unanukia - isije ikawa Tia maji Tia maji----

Dawa yenu inachemka hii hapa chini. Si mnajua ngoma ikilia sana huwa kinatokea kitu gani ... .....

_47001725_jm_getty766.jpg


Amna presha kaka wala kisukari, just mark my words; Chelsea na Man Utd kufika nusu fainali ya CL mwaka huu, bila shaka tutanyakua ubingwa mwaka huu wa CL. Wala wapaka upepo wa Hispania wasikupe presha. Ila Barca nataman wakutane na Chelsea aiseeeee😕😡🙄Lol!


Khe khe khe nicheke mie kumbe nyie munawahara Arsenal Yaani kipimo chenu ni Arsenal. Kumbe Arsenal bab kubwa wote mnajua jinsi wanavyosakata kabumbu basi sema kubebwa na kutoa fweza ndio nyenzo yenu , no worries na hii recession tutaona kama mafioso wataweza ku-last the course.
 
Goli 5 na point sita msimu huu heri ya Hull City waliambulia droo moja!
 
Hongereni wadau hapa.....! Invisible, Mvina, AB -Mwalimu, Peasant, Masa boy et al! Your boys deserved the win.......!ngoja ss tuuguze vidonda kwanza.....!

Yaani unawasifia mafioso? Ahaha aaaaaa kumbe unawabeza Good stuff. Wenyewe wanaona kwamba ndio wameshinda hivyo PL. Subiri in two weeks hapa tutakuwa tunaomboleza. khe khe khe khe
 
drogbaES2504_415x275.jpg
Yaani unawasifia mafioso? Ahaha aaaaaa kumbe unawabeza Good stuff. Wenyewe wanaona kwamba ndio wameshinda hivyo PL. Subiri in two weeks hapa tutakuwa tunaomboleza. khe khe khe khe
 
Think so ... ... .. he must, we want him on Loserfools team by any means.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom