Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Huu utabiri ya Mzee Yahya unawaharibu sana unatabiri j'pili unasahau leo j'nne,he he he heChelsea 3 Arsenal 1
![]()
Huu utabiri ya Mzee Yahya unawaharibu sana unatabiri j'pili unasahau leo j'nne,he he he heChelsea 3 Arsenal 1
![]()
Hapo pekundu patamu, Hapo pa bluu hata hiyo moja msitegemee.wacha1,
its ok, i dont think we needed more options anyway, the team is balanced and doing very well at a moment. a win today and arsenal on saturday will prove all that.
Currently Active Users Viewing This Thread: 11 (1 members and 10 guests)
Mbona mnaogopa ku sign in na kujiita Guests kwenye thread yenu? Masanilo na Peasant msiogope ku sign in.
 Kumbe nimekosa sana uhondo, ila mechi inayokuja dhidi ya Chelsea hawa gunners lazima wazae na mtu. Poelni watani ndio ukubwa wenyewe huo.
 Again Wenger has failed to prove his philosophy......... and he will never prove that unless he agrees to spend money like the other clubs....
Washika bunduki tatizo maneno mengi sana mkifika uwanjani mnaanza kuremba. Mtoto halali na pesa analala na k........si
 Pooleeeee Samaki poleeeeeeee
Hahahahahah hawa Bata tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Nitakuwa ndani ya Daraja (SB) chief, lakini nitacomment bahada ya mechi, Inshallah.
Jamani picha ziko wapi?
 poleni sana wenyeji wa hapa...
Timu bado changa, wakikuwa wata-deliver. fukuzeni kocha... au ana hisa? au timu ya ukoo make jina lake na la timu kama......................
Mouyokolo single-handedly took you to the cleaners! Weka picha, picha, picha, picha...plz!
That's what you get when it's boys against men!
..Chelsick are simply loosers, useless!!!!!.QUOTE]
You can say this again and again
Yeah, tunataka picha.....picha, picha, picha, picha Mouyokolo akiwatoka mabeki wawili (na wa tatu) wa Chelsick kabla ya "kufunga" goli la kwanza! Bwabwa1 weka picha hapa!
hahahaha
Mazee sasa hivi timu inayocheza beautiful game with confidence ni Chelsea. Good in defence, timu imebalance na wanapiga pasi kama zimepimwa na rula. Naona tar'tibu inaanza kunikumbusha kikosi cha masela kile cha kocha-mchezaji Ruud Gullit, Zola, Di Matteo, Casiraghi, Petrescu, Vialli na Flo et al. Timu nyingine mkubali tu kuwa msimu huu kwa England ni wa Chelsea FC na watakamata doubles, EPL & FA.
Zaidi ya hapo mtapata jakamoyo la bure..
Hahahaha! One word, only one word for Chelsick, MDEBWEDO!
ha ahaha, sorry guys, not Chelsea, Man U
vipi wazeeeeee?
Tumepoteza point mbili muhimu na kuondoka na point moja si sawa na mikono mitupu by the way bado tunaongoza ligi na Jmosi tuna point tatu.Kuna watu wanapiga kelele hapa kama vile waliwachapa Manure 3 -1 vile.
Pilau imeingia maji.
Hizo goli hazirudi wala nini. Mnadhania Bolton Wanderers hao??
Too young and too naive to compete with the likes of Man U & Chelsiki. At certain points is like Men against Boys. Sorry guys!
Washabiki wa Chelsick kwa matusi ni balaa leo kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mouyokolo
Haya haya..
Hakuna hoja ya kujibu hapa kama ni kujibu tutajibu kwenye pitch practically.Premier League mkuu May ndio tutajua zipi mbivu. Mbona ulikuwa na kelele nyingi weekend kwani Chelsick ndio Manure?
Hapa ni majibu ya hoja zenu tu .
Hakuna hoja ya kujibu hapa kama ni kujibu tutajibu kwenye pitch practically.
Na wakumbuke J'pili, ni siku ambayo J.Terry atakuwa ameshanyanganywa ukapteni wa neshino timu na Capelo, kwa machungu na majonzi atakayokuwa nayo basi atakuwa chochoro.Tumeyaona majibu KC Stadium Chelsick Mafia team mdebwedo.
Na wakumbuke J'pili, ni siku ambayo J.Terry atakuwa ameshanyanganywa ukapteni wa neshino timu na Capelo, kwa machungu na majonzi atakayokuwa nayo basi atakuwa chochoro.
Tumeyaona majibu KC Stadium Chelsick Mafia team mdebwedo.