Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuta-compare notes May. This is premiership therefore no worries we've got 14 matches to go, anything is possible.
 
Nitakuwa ndani ya Daraja (SB) chief, lakini nitacomment bahada ya mechi, Inshallah.

Khe khe khe daraja la kweli au la kusimukiwa? Nilitee PM tukutane pale siku ya mechi tuone nani zaidi kiwanjani? Halafu tutakuja kutoa story nzuri hapa jukwaani.
 
Andrey-Arshavin-Arsenal-Premier-League_2413850.jpg
 
Kumbe nimekosa sana uhondo, ila mechi inayokuja dhidi ya Chelsea hawa gunners lazima wazae na mtu. Poelni watani ndio ukubwa wenyewe huo.
 
Hivi hii miratiba migumu namna hii nani huwa anaipanga.......? After ManU......Darajani, then.....Looser fools......??????
 
It was a bad day kwakweli, but hope is still there for the gunners
 
Again Wenger has failed to prove his philosophy......... and he will never prove that unless he agrees to spend money like the other clubs....
 
Washika bunduki tatizo maneno mengi sana mkifika uwanjani mnaanza kuremba. Mtoto halali na pesa analala na k........si
 
Poleni sana kila siku tunasema watoto bado hao,kwenye hizi gemu 4 huenda mkaambulia point 1
 
Back
Top Bottom