Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We have 45 minutes to win this game or at least to rescue a point. We have done that before and we can do it again today although it is a very difficult task especially taking into consideration that we're playing with MANU.
 
Jmushi1,

Kama hiyo 'preciseness'' kama ulivyosema haifanyi kazi, WHY not change? why stick to a failed system?

Hiyo ndo shida yangu!
 
_47217495_fletcher_getty.jpg
 
Leo 2nawafunga,wikiend ijayo chelsea anawafunga.next to wikiend ijayo liverpool ANAWALALA!...poleni sana watani
 
Jmushi1,

Kama hiyo 'preciseness'' kama ulivyosema haifanyi kazi, WHY not change? why stick to a failed system?

Hiyo ndo shida yangu!

Wanahitaji strike mmaliziaji mzuri wa kumpost upfront,ndivyo ligi ya uingereza inavyohitaji,wanahitaji striker mmoja powerfull upfront mwenye mbio,stamina,mashuti makali na pia mrefu....Adebayor inaonekana hakukidhi hiyo haja,sasa wamemreplace na nani?
 
Where is Bala na yule BAK!!!

Nipo Mkuu, asiyejua kushindwa si mshindani lakini we have 45 minutes to go. Bala nadhani atakuwa na udhuru vinginevyo ni lazima angekuwepo hapa. Yule ni mpambanaji na kamwe hawezi kukimbia kipigo hata kama kinatoka kwa MANU. Haya mimi narudi kwenye luninga nikaangalie jinsi vijana wanavyoamua kucharuka na kufunga goli 3 bila majibu na kwa mara nyingine tena kuushangaza Ulimwengu wa soka 😉. Enjoy the remaining 45 minutes 🙂
 
Nipo Mkuu, asiyejua kushindwa si mshindani lakini we have 45 minutes to go. Bala nadhani atakuwa na udhuru vinginevyo ni lazima angekuwepo hapa. Yule ni mpambanaji na kamwe hawezi kukimbia kipigo hata kama kinatoka kwa MANU.

Pole sana hapa hamna team ndugu yangu!Gael Clinchy hamuwezi Nani, sasa hivi mtapigwa counter attack za kufa mtu!
 
tumefanya mechi hiwe ngumu sana,hakuna kitu kibaya kama kuwa kati hali hii.inanikumbusha mechi ya FA hile manake nilikuwa nimeenda pub naangaika kupata parking huku mtu ananipigia simu mkuu kama vipi bora urudi nyumbani NANI huku ana nyanyasa.nilijua utani kufika ndani ya pub aibu tupu.


sasa leo na hofia sana tunaweza kukamatwa kwenye counter attack we have to be very carefull.
 
The only survival kwa Arsenal kucheza na ManU au Chelsea ni kucheza defensive game. Wenger kwa sababu ya ukaidi wake kila siku anakumbushwa na matokeo lakini hajifunzi.
 
Back
Top Bottom