Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I said this is an easy game for Man Utd! Mazeee mupo? BAK, AW, Bala etc etc
 
na transfer market window hio inafungwa ,proffesor ana jeuri ya kusema haitaji striker ,kama huitaji striker ni sawa sawa na kusema huitaji kombe. tough day over here.moyo unaenda mbio.
 
......proffesor ana jeuri ya kusema haitaji striker ,kama huitaji striker ni sawa sawa na kusema huitaji kombe.

ni 3 kwa mtungi mpaka muda huu!

Do you think tatizo ni ukosefu wa striker pekee? I don't think so broda!

Badala ya kuchukua walinzi proven, anaiishia kuchukau akina Sol Campbel,

Mnalo msimu huu!
 
ni 3 kwa mtungi mpaka muda huu!

Do you think tatizo ni ukosefu wa striker pekee? I don't think so broda!

Badala ya kuchukua walinzi proven, anaiishia kuchukau akina Sol Campbel,

Mnalo msimu huu!
campbell hachezi.defense leakage hipo kwa clichy na kinacho sababisha hayuko fit bado na kama unaona uko na mtu kama NANI anakuzidi pace vile haina haja kupanda mbele sana na kumuachia room ya kufanya anachotaka.

kuhusu striker its a must huwa wana saidia sana kuhold mpira mbele na kuleta kasheshe.
 
Duuuh, ama kweli khari ni mbaya si tu moyo waenda mbiobali ni kuwaza nini kitajili baada ya dkk 90 na mechi na Chelsea itakuwaje!!!!!!!!!!!!!
 
I said this is an easy game for Man Utd! Mazeee mupo? BAK, AW, Bala etc etc

Nipo Mkuu, hata matumaini ya kupata angalau point moja sasa yamepotea, lakini kama nilivyosema hapo mwanzoni asiyekubali kushindwa si mshindani. My congratulations to all MANU fans on this forum for a big win, najua mpira ni dakika 90 lakini sioni dalili ya kupata goli hata la kufutia machozi. 🙁
 
ni 3 kwa mtungi mpaka muda huu!

Do you think tatizo ni ukosefu wa striker pekee? I don't think so broda!

Badala ya kuchukua walinzi proven, anaiishia kuchukau akina Sol Campbel,

Mnalo msimu huu!

Wanaposhindwa ku convert nafasi zinazopatikana basi kuna uwezekano wa kui demoralize timu,tatizo la striker linapelekea matatizo mengine ikiwemo kufungwa,striker mmoja powerfull anaweza kuwahold mabeki kadhaa na hivyo kufungua nafasi kwa wengine,ndivyo inavyokwenda,ni interconnected issue,timu kufungwa si lazima iwe tatizo ni defense.
 
Duuuh, ama kweli khari ni mbaya si tu moyo waenda mbiobali ni kuwaza nini kitajili baada ya dkk 90 na mechi na Chelsea itakuwaje!!!!!!!!!!!!!
i dont know hope we can take something from chelsea and liverpool and they have to play against each other too and we cant afford to loose more games.
 
The only survival kwa Arsenal kucheza na ManU au Chelsea ni kucheza defensive game. Wenger kwa sababu ya ukaidi wake kila siku anakumbushwa na matokeo lakini hajifunzi.
good point.beautiful game yetu huwa ina tu cost sana tukicheza na big 4 sometimes.
 
Mabadiliko aliyoyafanya si mabaya labda la machozi litakuwepo,Ila Arsenal wako confused hawajui wakabiliane vipi na hizi counter attack
 
Kweli ngoma ya kitoto haikeshi..Am speechless..Hongereni sana Manure,you deserve it(though siuoni mpira nipo safarini wakuu)...Naukumbuka ule wimbo wa TMK Wanaume Halisi...eeh eeeh tumebana tumeachia,tatu bila tatu bila tatu bila...Poleni Arses...Tutachonga kesho wakuu wangu,nipo njiani now...Masa anachooooooooooooonga....bye
 
La kufutia machozi!

Arsenal 1, Chelsea 3

Keep it up! It might be 3-3!
 
Back
Top Bottom