Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
mechi imeisha vibaya sana....Arsenal wamefungwa, Ghana wamefungwa....ngoja nimpigie my expected wife simu tuongee wee ili kupunguza machungu.........ya chelsea, sijui itakuwaje??????????????????????
...Mechi ya Chelsea dawa ni kutoiangalia tu wala kubishana na hawa kina Masanilo na Peasant. Tutafungwa tu, tena mengi sana. Acha tu...inauma lakini ndio ukweli wenyewe.
Wenger kazi imemshinda
Yeah, tunataka picha.....picha, picha, picha, picha Nani akiwatoka mabeki wawili (na wa tatu) wa Arse kabla ya "kufunga" goli la kwanza! Bwabwa1 weka picha hapa!
...Yaani Nani alivyowapita wale mabeki wawili dah, inauma kweli aisee, haki ya nani tena sina tena mapenzi na Arsene Wenger hata tukimaliza watatu msimu huu. It's all over...🙁