Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Draw itakuwa nzuri kwa Chelsea maana wote mtapoteza point, ikishindikana ni bora Arsenal ashinde maana Manure wana kawaida ya kumaliza msimu kwa kasi.
Hope tutashinda tu maana tangu juzi usingizini naota tumeshinda 2-1...Na mimi mara nyingi nditi zangu huwaga za kweli😀😀😀😀