Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inaelekea itakuwa mechi yenye magoli mengi,maana Arsenal hawawezi kutoka kapa moja kwa moja,lets wait and see
 
Arsene Wenger is crying! Bado mziki wa Stamford Bridge, Drogba
 
Arsenal wanatakiwa wapate at least one goal before half time kama wanataka kustay "alive"
 
WHY Arsenal hawana 'guts' and 'nerve' inapokuja kwenye mechi kama hizi??

Man United (2) - Arsenal (Mtungi).!
 
Weekend inaishia vizuri siyo siri, mmh nisubiri 90mnts mana kibao kisije kikageuka...huree Man Utd!
 
Song tayari ana yellow na kwa style yake ya uchezaji,naona yuko somewhat "limited" Wenger alitupie hilo macho wakati wa half time,ila cjui atamreplace na mchezaji gani.
 
Too young and too naive to compete with the likes of Man U & Chelsiki. At certain points is like Men against Boys. Sorry guys!
 
Arsenal shida yao kubwa ni "preciseness" kwenye umaliziaji,hilo tu.
 
Baby wala usijali hawa leo mnafunga mengi! Clinchy kule ni uchochoro! Leo niko na wewe nakusaidia kushangilia. Lini waja Zenj? I am so happy na haya matokeo jukwaa lina kelele sana hili

Weekend inaishia vizuri siyo siri, mmh nisubiri 90mnts mana kibao kisije kikageuka...huree Man Utd!
 
Inaelekea itakuwa mechi yenye magoli mengi,maana Arsenal hawawezi kutoka kapa moja kwa moja,lets wait and see
mkuu kosa tutakalolifanya hapa ni tutakuwa tunakamatwa kwenye counter attack tu sasa hivi kwa vile tutakuwa tunaenda kulazimisha magoli.arshavin nafasi kibao za kuwaekea wenzake wa press kataka kufunga mwenyewe.
 
Washabiki wa Arsenal kwa matusi ni balaa leo kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Rooney
 
No man..is more than this, believe me!

I beg to differ,Arsenal wanaweka mpira chini shida ni umaliziaji,sasa ebu tueleze whats more ndugu mkufunzi,maana umesahahu we're just talking in general.
 
Back
Top Bottom