Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Mkuu, kama tungebamizwa sijui ungekuja na dongo lipi maana naona unaua kabisa
Kumbe na nyinyi huwa mnakamatwa? Mpira tu huu burudani enjoy. Ndio vijembe vyenyewe tuta-compare notes May si niliwaambia lakini nyie tatizo lenu Umafia na wengi mmeibuka kushabikia Chelsick jana tu.