Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 955
- 2,072
Akili zako fupi sana. Yan mpk leo hujui kwamba siasa ndiyo inaamua maisha yako!! acha ujinga!Itamsaidia nini au itakusaidia nini wewe hapa?ni kama mnaoteza muda tu,kama ninyi wengine ni watu wazima kuweni busy kutafutia familia zenu mtoke kwenye umasikini kuliko kupambaia ajira ya mtu ambaye hata akienda huko unakotaka atakutazama tu na shida zako