Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

We yamekushuka mchana si ulisema mimi kusema Act Wazalendo wajitoe ukasema nawapangia, nisiwapangie kiko wapi sasa si hawa wamejitoa. Tunapoandika tunatumia reasoning siyo mikurupuko ya buku saba kama nyinyi.
Mimi sijasema kitu Kama hicho wewe umekosea mlango umeenda kuhani nyumba ya wasiofiwa.Umeamua tunuchukue post yangu kuijibu bila kujua unayemjibu sio Mimi .Sina kiwango Cha chinincha reasoning. Umekurupuka mtafute huyo aliyeandika Hilo ndio imjibu
 
Kususa nako kuna kanuni zake, wewe ukisusa, wenzio twala.
.
P
Siku mtakula vyenye sumu yawapate yaliyowapata wale waliokula uyoga wenye sumu.
 
Vingine haviliki.
Achana na haki za watu mkuu. Huwa haziombwi. Ipo siku watazidai.
Haya sio mambo ya kushabikia hata kidogo.
Mambo ya kugusa jamii moja kwa moja ni ya kuyaogopa kabisa
Mkuu Nusu Hela, kwanza nakubaliana na wewe kuwa haki ya mtu ni stahiki, haiombwi wala hauletewi kwenye kisahani cha chai bali haki hudaiwa.

Kwa vile sisi Watanzania tulipata uhuru wetu bila kumwaga damu, hivyo Watanzania ni watu peaceful sana, hata tufanyiwe nini kazi yetu ni kupiga tuu kelele mchana, usiku tutalala .
P
 
Upinzani haijasusa,isipokuwa imeamua kuachana na mambo ya kitoto.
-------------------------------
-------------------------------

Binafsi mimi ni mwana CCM kindaki ndaki lakini sikuona sababu za kimsimsingi za chama langu na ccm kwa kwa ujumla wake kuwa na hofu namna hii juu ya uchaguzi huu kwa kiasi hiki cha kupelekea kunyima haki katika baadhi ya mambo madogomadogo ikiwepo kujificha kwa baadhi ya watendaji.

BINAFSI NILIDHANI KATIKA UCHAGUZI HUU NDICHO KINGEKUWA KIPIMO KIZURI CHA KUKUBALIKA KWA AWAMU HII YA TANO.

N.B.-SIAMINI KWA YOTE HAYA YALIYOFANYWA NA AWAMU HII KAMA KUNGEKUWEPO KWA TATIZO LOLOTE LILE JUU YA USHINDI MNONO.
 
Kususa nako kuna kanuni zake, wewe ukisusa, wenzio twala.
.
P
Kuleni tu Mzee baba. Huu udhalimu hautadumu milele.
Pascal Mayalla , hili Ni doa kubwa sana katika historia ya demokrasia ya nchi yetu.
Nashauri tu, kwakuwa msukuma anapendwa sana na kukubalika yeye na chama chake, basi aufute rasmi mfumo wa vyama vingi, atangaze kuwa Watanzania hatuna haja ya chama kingine, Wala mawazo mengine isipokuwa ya mwenyekiti, na Kwamba yeye Ni rais wa maisha. Tuelewe moja
 
Mkuu Nusu Hela, kwanza nakubaliana na wewe kuwa haki ya mtu ni stahiki, haiombwi wala hauletewi kwenye kisahani cha chai bali haki hudaiwa.

Kwa vile sisi Watanzania tulipata uhuru wetu bila kumwaga damu, hivyo Watanzania ni watu peaceful sana, hata tufanyiwe nini kazi yetu ni kupiga tuu kelele mchana, usiku tutalala .
P
Hayana marefu yasiyo na ncha. Kama Mbozi wameanza kuharibu mashamba ya watawala tafsiri yake Ni Nini? Ni Kwamba tumesha anza kuwindana. Utasikia wake wa watawala wanaanza kubakwa, watoto wa shule watawala wameshambuliwa wakiwa njiani, na Visa vingi.
Mwanzo wa ngoma Ni lele
 
Siasa siasa

Unajua unapo zungumza kuusu siasa Kuna vitu vingi Sana.

Huwezi kushinda kisiasa kama uja fanya jitihada za kumcha fua mpinzani wako.

.. Nieleweke kuwa sio kumtusi au vinginevyo Bali kuangalia mapungufu Aliyo nayo wewe uyatumie kama seem ya kujipatia ushindi

Nikweli kabisa figisu figisu zipo lakini hapa tuangalie je wanao fanyiwa hizo figisu Wana chukua hatua gani mana sheria na kanuni zipo.

Ukisha jua kuwa mwenzio ni mchezaji mchafu unatakiwa upambane ili uweze kudhibiti mianya yote ya wewe kukuchezea rafu

Na zani yakifanyika hayo mambo yatakuwa salama japo sio Sana ila itakuwa nafuu
 
CCM waliingiwa na wazimu nini?, hivi ilikuwaje wakampa nchi huyu jamaa?, taarifa zake tunazisikia kutoka vyuo mbalimbali ina maana hata tiss hawakuwa na taarifa hizi
 
Siasa siasa

Unajua unapo zungumza kuusu siasa Kuna vitu vingi Sana.

Huwezi kushinda kisiasa kama uja fanya jitihada za kumcha fua mpinzani wako.

.. Nieleweke kuwa sio kumtusi au vinginevyo Bali kuangalia mapungufu Aliyo nayo wewe uyatumie kama seem ya kujipatia ushindi

Nikweli kabisa figisu figisu zipo lakini hapa tuangalie je wanao fanyiwa hizo figisu Wana chukua hatua gani mana sheria na kanuni zipo.

Ukisha jua kuwa mwenzio ni mchezaji mchafu unatakiwa upambane ili uweze kudhibiti mianya yote ya wewe kukuchezea rafu

Na zani yakifanyika hayo mambo yatakuwa salama japo sio Sana ila itakuwa nafuu
Mbinu za kudhibiti huo mchezo mchafu ni kususia uchaguzi.
 
Nasari na Lisu walionewa viongozi walienda mahakamani na mawakiri kedekede walijitokeza kuwapambania, kama Suala la Lisu na Nassari hawakususa iweje leo wasuse kwa uonevu unaohusisha maelfu ya viongozi wa chini? Hao Lisu na Nassari ni watu muhimu sana kana chama kuliko hawa wa chini?
 
Kususa nako kuna kanuni zake, wewe ukisusa, wenzio twala.
.
P
Nampongeza sana Zitto kwa huu uamuzi wa busara. Historia itakuwa upande wenu. Big up sana ACT Wazalendo
 
Kususa nako kuna kanuni zake, wewe ukisusa, wenzio twala.
.
P
Bora iwe hivyo kwa muktadha wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa, yaani wagombea wote waenguliwe kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu, watendaji wa kata wamepewa maagizo wasitangaze mpinzani yeyote kashinda kwenye maeneo yao vinginevyo watafukuzwa kazi na kunyimwa pensheni zao watu taarifa tunazo, yeye Jiwe kwa kauli yake anawaambia wakurugenzi nikupe gari, mafuta, posho halafu utangaze mpinzani kashinda. Sasa vyama vya upinzani viko sahihi kabisa kujitoa kuliko kuubariki uchaguzi haramu uonekane halali. Anyway ccm naona mmenuna sana si muendelee na huo uchaguzi wenu wa ndani. Mimi nashangaa ccm mnaumia nini maana nilitegemea baada ya Chadema na Act Wazalendo kujitoa wangefurahia na kurukaruka mpaka kugalagara maana sasa wanapata ushindi wa kishindo, tofauti yake wameumia sana, wamenuna, mnataka nini damu za watu?
 
Vingine haviliki.
Achana na haki za watu mkuu. Huwa haziombwi. Ipo siku watazidai.
Haya sio mambo ya kushabikia hata kidogo.
Mambo ya kugusa jamii moja kwa moja ni ya kuyaogopa kabisa
Mbona ccm wameumia sana baada ya Chadema na Act Wazalendo kujitoa, sijui watamuibia nani kura safari hii?
 
Nasari na Lisu walionewa viongozi walienda mahakamani na mawakiri kedekede walijitokeza kuwapambania, kama Suala la Lisu na Nassari hawakususa iweje leo wasuse kwa uonevu unaohusisha maelfu ya viongozi wa chini? Hao Lisu na Nassari ni watu muhimu sana kana chama kuliko hawa wa chini?
Jitahidini kuwa na afya njema ya akili,msifanye mchezo na mambo ya Kitaifa.
 
Pascal Mayalla ifikie pahali tuukubali ukweli...wewe unaona haya yaliyotokea ni mazuri?
Kwa nini chama kiogope ushindani huru?
Maaana yake chama hakijiamini.fujo zilizofanywa safari hii ni aibu kubwa..
Pascal hili si swala la kulichukulia juu juu ujue athari zake ni kubwa mno na huenda zikadumu hadi 2025.
Niseme tu kama ni amani ya nchi hii watakaoivuruga ni hiki hiki chama chenye nguvu.
Na ujumbe umfikie aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi yaani toka akiwa mbunge kwenye uchaguzi ni maujinga tu, mpaka sasa anayaendeleza bila aibu, huyu nina mashaka na elimu yake, kabila lake, hata IQ yake.
 
Back
Top Bottom