Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
CHADEMA hayajielewi kabisa
Na wewe ni changu wa eneo gani mkuu?Changu wa Madale mwenyewe huyo.
Miss u mamiiChangu wa Madale mwenyewe huyo.
Miss you tooMiss u mamii
kwani Mnyika aliyeomba Rais aingilie mhimili wa mahakama ni CCM?CCM ni sumu, inaingilia hadi uhuru wa mahakama, hii ni mbaya mbaya saana kwa ustawi wa Taifa letu.
Separation of powers bro.Unaongea kama mtu aliyeamua ajivike ujinga kwa muda.
1) Anayemshtaki Mbowe ni Samia
2) Aliyempa Mustapha rushwa ya cheo ili kutoa hukumu ya upendeleo ni Samia.
3) Aliyembambikia kesi Mbowe na wenzake ni Samia (ndiye kiongpzi mkuu wa Polisi na majeshi yote)
Kama aliyewabambikia kesi ni Samia, aliyewashtaki ni Samia, aliyetoa rushwa kwa jaji aliyekuwa anaendesha kesi ni Samia. Unadhani ni nani mwenye uwezo wa kuifuta kesi hiyo kama si yule aliyeitengeneza?
Mashabiki wa sabaya si ni ccm au? Kwahiyo akili za chadema na ccm zinafanana?Akili za chadema na za mashabiki wa sabaya zinafanana sana
Mwenyekiti wenu si alitamka kwamba Kesi ya Mbowe acheni iendelee kwani wenzake WAMESHAFUNGWA tayari. kamuulize vizuri kina nani hao washafungwa ? na kesi ilisikilizwa lini na katika Mahakama ganikwani Mnyika aliyeomba Rais aingilie mhimili wa mahakama ni CCM?