CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Yes, it's possible & likely....

Ni muhimu kuwapo kwa Mult Party Democracy Parliament....

Hivi ndivyo dunia inavyokwenda kwa sasa. Ni mfumo wa dunia unless uwe toshelevu kweli kujiundia mfumo wa ko mwenyewe...

CCM wanajua hili vizuri. Ukitaka kutengwa na dunia, kuwa mbabaishaji na mwenye longo longo nyingi kama alivyokuwa "kichwa cha TZ, Mwendazake Magufuli"...

Hawa COVID 19 kuwa replaced? Yes, it's Likely..

Inawezekana kama sehemu ya juhudi kidogo ya kujaribu kuleta maridhiano ktk taifa hili lililokuwa limegawanyika huku likielekea kuvunjika vunjika kabisa...

Bahati njema, kabla taifa halijavunjika, SHINA LA UOVU likakatwa na kuchomwa moto...!

USHAURI KWA KINA MDEE NA WENZAKE:

Warudi chamani. Waombe radhi. Wajitoe wenyewe kwenye ubunge huo kabla nguvu ya KATIBA YA NCHI haijawasukuma nje....

Kwa kufanya hivyo, baadhi wanaweza kurudi bungeni...

Out of that, KARMA is at work. Haitaacha mtu salama ambaye amesimama mahali pasipo pake...
Aisee kama ni suala la multi party basi bora Chadema warudishe wale wabunge viti maalum wa 2015, ili ibakie 2020 hapakuwa na uchaguzi.
 
This is almost impossible japo there's slight chance of possibility...

Kwa kuwa vyama vya siasa vyote vinakutana na "Malkia wa nchi", I am pretty sure that, this is going to be one of the agenda of discussion...

Uchaguzi kurudiwa ni ngumu. The alternative ndiyo kama hii, kurekebisha makosa yaliyokuwa ya wazi mno na si vibaya kusema " na ya kijinga" pia...

Lazima kuwe na GIVE and TAKE au WIN - WIN situation katika ya pande zote mbili i.e CCM na vyama vilivyo nje ya serikali maarufu kama "upinzani"...

Na ninavyofahamu mimi SIASA na WANASIASA ugomvi wao mkubwa huwa ni MADARAKA tu kwa jina la " KUTUMIKIA WANANCHI" lakini ukweli ukiwa ni kutumikia maslahi yao. Na hapa linahusu wote sio CCM wala CHADEMA au chama chochote cha siasa...

Usishangae ktk mazungumzo hayo kukatokea watu msiodhani wakateuliwa kuwa wabunge. Lakini hawezi kuwa Freeman Mbowe..!!
Kama ni kwenye suala la "Give and Take" CCM wapunguze idadi ya viti maalum wao ili kuongezea idadi ya wale waliokuwepo Chadema 2015, then waende wote kama walivyo ukiondoa wahuni 19 kama wapo waliokuwepo 2015 ndio wawe replaced, vinginevyo Chadema kupeleka wabunge bungeni nao wakiingia watakuwa diluted coz nao watakuwa ni zao la ule uchaguzi feki, lile bunge lote litakuwa feki.
 
CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima “kuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa.
Wasinge pokelewa kwani waliojipeleka wapo waliowahakikishia ulinzi wa kutokufanywa chochote hata na chama chao.Ikitokea hivyo utakuwa ni ushindi mkubwa kwa democrasia ya kweli.
 
Inawezekana wakina mzee Mdee walikuwa sahihi, inawezekana kweli viongozi wa CDM walitaka kuweka wake na vimada wao.
 
ndumila kuwili😂😂😂😂😂😂😂😂😂

sitaki natakaaaa
 
Inawezekana wakina mzee Mdee walikuwa sahihi, inawezekana kweli viongozi wa CDM walitaka kuweka wake na vimada wao.
Mdee alikuwa aende kwa nafasi yake ya mwenyekiti Bawacha, wale ni walafi tu, matumbo yakawafanya wasifuate utaratibu.
 
Hakuna kitu kitakachofanyika.

Hilo jambo ndio limekwisha, wao waendelee kususa tu.

Haiwezekani serikali ikawa inafanywa kama shule ya vidudu.
sasa mumeshikwa pabaya ...mae tulieni tumimine DAWA iwangie vizuri.. shwain nyie
 
Katiba kwani imebadilika!!!
Waacheni waendelee na kazi.. kodi zetu za kulipa wabunge mara mbili mbili hatuna..
 
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

View attachment 1766204
Gazeti halina tarehe wala jina la mwandishi kana kwamba ni habari hatarishi :) :) :) :) :) :) :)

Halafu viongozi wa CHADEMA mbona hawajatoa tamko lolote
 
Hao akina Mdee wakitolewa huko Bungeni basi kisiasa watakuwa wamekufa, maana watashambuliwa kila kona na mashabiki wa CDM, kama kuna mabingwa wa kuchafua watu hapa nchini hamna anawafikia CDM, may be Nape anawafuatia, ila kwa mbali sana. Babu Slaa na ubishi wake wote aliwakimbia CDM, akaona bora akawe meneja wa Supermarket, CDM wana midomo michafu sana, watakupa kila aina ya majina. Haya Mzee Mdee karibu mtaani uje ukinywe kikombe ulichojiandalia mwenyewe.
 
Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? kwanza hata hao wabunge wataoteuliwa na Chadema nao ni haramu coz ni zao la uchaguzi haramu, sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni.

Chadema wakijaribu kufanya huu upuuzi next time wakichakachuliwa tena sijui watamlaumu nani, vyema wawe na msimamo mmoja usioyumba, uke uchaguzi ulikuwa haramu.
Mkuu maadam Rais ana nia ya dhati kuleta muafaka wa kisiasa sioni haja ya kuendelea kususa. Ya JPM aliondoka nayo, wao wakubaliane tu kubadili mfumo wa uchaguzi then 2025 ndio tuta evaluate.

Hata JPM pamoja na ubabe wote aliachia yale makontena wakati wa mazungumzo ili kuonyesha goodwill na kuaminiana kwenye kutafuta muafaka.

Sidhani kama kuna haja ya kususia ushiriki kwa Rais ambaye anatafuta maridhiano maadam hakuwa JPM tuichukulie kama a new beginning.
 
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

View attachment 1766204
Hizi ni porojo tu wale wabunge 19 Ndugai ndio mwenye msumeno, na kwa namna anavyowalinda Ndugai atakubali kupoteza uspika lakini wale waendelee kubaki
 
Back
Top Bottom