CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Tatizo akina halima wameamua kushupaza shingo tuu. Ningekua ndo Mimi ktk hao 19 ningejiuzuri hata kesho kwa sababu aliyewapigania kua happy Kesha fariki kwa vyvyote vile wataondolewa tu Ni suala la muda. Sasa wasisubiri kuondolewa, wajiondoe wenyewe.
 
Chadema wamepigwa shavu la kushoto, wakubali tu kulabwa kibao na shavu la kulia...
 
Hapa sasa ndiyo pamefikia patamu. CHADEMA waende Mahakamani na kupata haki na hatimaye akina Mdee waweze kuvuliwa Ubunge wao ili kuwawezesha kuwateua wengine wapya. Kwa kweli akina Mdee watajutia usaliti walioufanya. Ubunge watakosa, uananchama wamevuliwa na watakuwa kama sisi tulio mtaani.
 
Mwongo sana wewe bwana... Unatafuta spinning, CHADEMA ya Mwenyekiti Freeman Mbowe haiwezi kufanya hivyo...
 
Hapa sasa ndiyo pamefikia patamu. CHADEMA waende Mahakamani na kupata haki na hatimaye akina Mdee waweze kuvuliwa Ubunge wao ili kuwawezesha kuwateua wengine wapya. Kwa kweli akina Mdee watajutia usaliti walioufanya. Ubunge watakosa, uananchama wamevuliwa na watakuwa kama sisi tulio mtaani.
CHADEMA wakikamilisha ile process ya Baraza Kuu na kubariki wale 19 kuvuliwa uanachama jumla, game litaishia hapo na huenda kukawa hakuna haja ya kwenda kortini tena, unless inafunguliwa jinai ya kuforge sahihi na nembo ya Chama
 
CDM kuna mwaka hamjasema mlibiwa kura? Tangu mmezaliwa malalamiko yenu ni hayo tu
Na kura zitaendelea kuibiwa tu kama process ya uchaguzi itaendelea kuwa hii hii

Ni wendawazimu kuendelea kuingia kwenye uchaguzi huku ukijua kabisa mbinu iliyotumika kukuchapa mwaka 1995 itaendelea kutumika tena na tena.

Ofcourse labda lengo kuu liwe sio kushika dola bali kuambulia/kutupiwa viti 20-25 hivi vya ubunge ili Ruzuku iendelee kuja na maisha yasonge
 
CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima “kuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa.
Sasa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria na sio matakwa ya mtu mmoja, na ndio maana una ona sasa kila mtu analizungumzia hilo, kwani aliyekuwa anawalinda hayupo tena!!kweli maisha haya, unadhani wote hao, kuanzia nec, bunge hawajui kuwa hao ni halamu?ila wangefanya nini, hata hao CDM, wangepeleka majina baada ya kina Halima kuforge barua, kuna chochote kingefanyika?!!ishi kwa kutegemea sheria, na sio kwa kumtegemea mtu ona sasa kinachowakuta covid 19
 
Back
Top Bottom