kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Nachoipenda CDM hakuna mkubwa kuzidi chamaHao akina Mdee wakitolewa huko Bungeni basi kisiasa watakuwa wamekufa, maana watashambuliwa kila kona na mashabiki wa CDM, kama kuna mabingwa wa kuchafua watu hapa nchini hamna anawafikia CDM, may be Nape anawafuatia, ila kwa mbali sana. Babu Slaa na ubishi wake wote aliwakimbia CDM, akaona bora akawe meneja wa Supermarket, CDM wana midomo michafu sana, watakupa kila aina ya majina. Haya Mzee Mdee karibu mtaani uje ukinywe kikombe ulichojiandalia mwenyewe.