CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Mahera na Ndugai walikuwa vibaraka waaminifu mno kwa madudu yote yaliyofanywa na mwendazake katika hujuma na dhuluma zilizotendeka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na hii haikuwa tu upande wa wabunge wenye majimbo, mwendazake alipata tamaa ya kuwamiliki wabunge wa viti maalum kwa upande wa CDM ili jamaa azidi kupata utiifu, utukufu, sifa na heshima ikiwa ni maandalizi ya kimkakati ya kutaka kubadili katiba ili aweze kuongezewa muda wa uongozi.
 
katika maridhiano wahusika wa forgery wawajibishwe.

Serikali haitaki maridhiano yoyote na vyama vya siasa, rais ametoa nafasi ya kuongea nao na kuwasikiliza, ni kama rais anavyoongea na walemavu au wafanyabiashara ndogo ndogo

Maridhiano ya chadema kwa ajili ya kitu gani? Wananguvu gani sasa hivi?

Ela tu ya kuajili wafanyakazi wa Office hawana, chadema sio threat tena
 
Sasa ndiyo watapeleka mbona inakuuma sana?
Unaumia ukiwa wapi ndugu?
Nadhani unaeumia ni wewe. Seems ulitamani sana viongozi wa CHADEMA waendelee kususa to prove a point. Bahati mbaya huna clue chama kinaendeshwaje
 
Mahera na Ndugai walikuwa vibaraka waaminifu mno kwa madudu yote yaliyofanywa na mwendazake katika hujuma na dhuluma zilizotendeka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na hii haikuwa tu upande wa wabunge wenye majimbo, mwendazake alipata tamaa ya kuwamiliki wabunge wa viti maalum kwa upande wa CDM ili jamaa azidi kupata utiifu, utukufu, sifa na heshima ikiwa ni maandalizi ya kimkakati ya kutaka kubadili katiba ili aweze kuongezewa muda wa uongozi.

Usitaje Mahera na ndugai
Sema mfumo mzima,, tatizo lenu mnadhani hivi vitu ni watu flan wanaweza kuamua hayo ni mambo ya taasisi
 
Mahera na Ndugai walikuwa vibaraka waaminifu mno kwa madudu yote yaliyofanywa na mwendazake katika hujuma na dhuluma zilizotendeka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na hii haikuwa tu upande wa wabunge wenye majimbo, mwendazake alipata tamaa ya kuwamiliki wabunge wa viti maalum kwa upande wa CDM ili jamaa azidi kupata utiifu, utukufu, sifa na heshima ikiwa ni maandalizi ya kimkakati ya kutaka kubadili katiba ili aweze kuongezewa muda wa uongozi.
Lkn bahati mbaya sana Mungu hakufurahishwa na huo ujinga akafanya yake.
 
Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? kwanza hata hao wabunge wataoteuliwa na Chadema nao ni haramu coz ni zao la uchaguzi haramu, sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni.

Chadema wakijaribu kufanya huu upuuzi next time wakichakachuliwa tena sijui watamlaumu nani, vyema wawe na msimamo mmoja usioyumba, uke uchaguzi ulikuwa haramu.
 
Yes, it's possible & likely....

Ni muhimu kuwapo kwa Mult Party Democracy Parliament....

Hivi ndivyo dunia inavyokwenda kwa sasa. Ni mfumo wa dunia unless uwe toshelevu kweli kujiundia mfumo wa ko mwenyewe...

CCM wanajua hili vizuri. Ukitaka kutengwa na dunia, kuwa mbabaishaji na mwenye longo longo nyingi kama alivyokuwa "kichwa cha TZ, Mwendazake Magufuli"...

Hawa COVID 19 kuwa replaced? Yes, it's Likely..

Inawezekana kama sehemu ya juhudi kidogo ya kujaribu kuleta maridhiano ktk taifa hili lililokuwa limegawanyika huku likielekea kuvunjika vunjika kabisa...

Bahati njema, kabla taifa halijavunjika, SHINA LA UOVU likakatwa na kuchomwa moto...!

USHAURI KWA KINA MDEE NA WENZAKE:

Warudi chamani. Waombe radhi. Wajitoe wenyewe kwenye ubunge huo kabla nguvu ya KATIBA YA NCHI haijawasukuma nje....

Kwa kufanya hivyo, baadhi wanaweza kurudi bungeni...

Out of that, KARMA is at work. Haitaacha mtu salama ambaye amesimama mahali pasipo pake...
 
Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni..
Kuna sababu nyingi kwanini uchaguzi hauwezi kurudiwa.

Hata Mdee na wenzake wakiondoka Bungeni na wasiwe replaced, tutamuondoa na Aidah? Tutazikataa kura za Lissu na hivyo kuikataa ruzuku?

Haya mambo hayahitaji kukurupuka
 
Huwa ni kawaida ya nyumbu kuona yuko salama mbele ya mdomo wa Simba.

Rais Samia wanyooshe tena.
 
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

View attachment 1766204
Kwani kuomba suluhu ya maridhiano ndiyo kuondoa uhalali wa yale mengine yaliyotangulia. Hii ni sawa na kujitekenya mwenyewe, rubbish tupa kwenye dustbin
 
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

View attachment 1766204
Unamaanisha Nini labda sikuelewi! Kumtambua marehem na utawala wake au? Baba hii ni awamu ya sita chini ya Rais mwingine,kushirikiana na awamu ya sita Haina maana ya kuitambua awamu ya tano over.
 
Kwa mujibu wa RAIA MWEMA. Soma jombii
 
Njaa haina baunsa
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

View attachment 1766204
 
Kuna sababu nyingi kwanini uchaguzi hauwezi kurudiwa.

Hata Mdee na wenzake wakiondoka Bungeni na wasiwe replaced, tutamuondoa na Aidah? Tutazikataa kura za Lissu na hivyo kuikataa ruzuku?

Haya mambo hayahitaji kukurupuka
Hiyo ruzuku Chadema wameanza kupewa lini?
 
Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? kwanza hata hao wabunge wataoteuliwa na Chadema nao ni haramu coz ni zao la uchaguzi haramu, sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni.

Chadema wakijaribu kufanya huu upuuzi next time wakichakachuliwa tena sijui watamlaumu nani, vyema wawe na msimamo mmoja usioyumba, uke uchaguzi ulikuwa haramu.

This is almost impossible japo there's slight chance of possibility...

Kwa kuwa vyama vya siasa vyote vinakutana na "Malkia wa nchi", I am pretty sure that, this is going to be one of the agenda of discussion...

Uchaguzi kurudiwa ni ngumu. The alternative ndiyo kama hii, kurekebisha makosa yaliyokuwa ya wazi mno na si vibaya kusema " na ya kijinga" pia...

Lazima kuwe na GIVE and TAKE au WIN - WIN situation katika ya pande zote mbili i.e CCM na vyama vilivyo nje ya serikali maarufu kama "upinzani"...

Na ninavyofahamu mimi SIASA na WANASIASA ugomvi wao mkubwa huwa ni MADARAKA tu kwa jina la " KUTUMIKIA WANANCHI" lakini ukweli ukiwa ni kutumikia maslahi yao. Na hapa linahusu wote sio CCM wala CHADEMA au chama chochote cha siasa...

Usishangae ktk mazungumzo hayo kukatokea watu msiodhani wakateuliwa kuwa wabunge. Lakini hawezi kuwa Freeman Mbowe..!!
 
Back
Top Bottom