He!!! Nilikuwa nashangaa sana. AsanteHuyu jamaa huwa yupo front na anarudisha moto vilevile ,hata 2006 alikuwa front wakanza kutarget gari lake, CDF wake akauwawa wakamshauri kuretreat waaasi wakamfuta mpaka nje ya ikulu akazipiga mpaka dakika za mwisho wafaransa wakampa tafu.