Chad: Waasi zaidi ya 400 wafungwa Maisha Jela kwa Mauaji ya Rais Idriss Deby

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,018
1,606
1679488695082.png

Mahakama nchini #Chad imewahukumu ya kifungo cha maisha jela Wanachama 465 wa kundi la waasi la 'Front for Change and Concord in Chad' kutokana na Mauaji ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Déby mwaka 2021

Walipatikana na hatia ya Vitendo vya Ugaidi, Kudhoofisha Usalama wa Taifa na kuhatarisha Maisha ya Kuongozi Mkuu wa nchi miongoni mwa mashtaka mengine

Rais huyo ambaye alikuwa mmoja wa viongozi waliokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Africa baada ya kukaa madarakani kwa zaidi ya Miaka 30, alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata Aprili 2021 kufuatia Mapigano na waasi kaskazini mwa nchi hiyo.
........

A court in Chad on Tuesday handed life sentences to more than 400 rebels over the killing of former President Idriss Déby.

The former president died of his injuries in April 2021 following clashes with rebels in the north of the country. He was one of Africa's longest-serving leaders after spending more than three decades in power.

The mass trial of the 465 members of Front for Change and Concord in Chad (Fact) rebel group started in February in the capital, N'Djamena, behind closed doors.

They were found guilty of acts of terrorism, undermining national security and endangering the life of the head of state among other charges.

The group has described the trials as flawed and a "masquerade".

One defence lawyer suggested there would be an appeal.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom