Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Kwa mfano Sifa za huyu wa Chad Idriss Deby 'aliyeuwawa' kwa 'Kimbelembele' cha Kujifanya amepitia Jeshi na kaiva Kimedani wakati si kweli ni hizi zifuatazo....

1. Alikuwa Mkabila sana
2. Alikuwa Mdini mno...
Kwa hiyo na huyu eliekuwa wa kwetu unamfananisha na huyo
 
Hivi Chad hawana Katba inayoweka mfumo wa kubadilishana madaraka!?

kuna nchi sio kabisa, kwa hiyo hapa kwetu Joseph Jr (the bonge) angechukua usukani!?
 
Jeshi la Chad limemteua mtoto wa Aliyekuwa Rais General. Mahamat Idriss Deby kuwa Rais wa nchi hiyo baada ya Baba yake kufariki, Mahamat ni Ofisa wa Jeshi mwenye nyota 4. Anakuwa Mmoja kati ya Rais mdogo Duniani na mdogo kuliko wote Africa akiwa na Miaka 37. https://t.co/NVLJrNZjZJ
 
Mungu amejua kutuokoa kwa njia zake mwenyewe Waafrika baada ya sisi kushindwa kujikomboa wenyewe kutoka kwenye udhalimu wa watoto wetu wenyewe wa kuwazaa.

Tumebakiza madikteta wawili angalau ukanda wa maziwa makuu utulie
 
Back
Top Bottom