Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Huyu jamaa huwa yupo front na anarudisha moto vilevile ,hata 2006 alikuwa front wakanza kutarget gari lake, CDF wake akauwawa wakamshauri kuretreat waaasi wakamfuta mpaka nje ya ikulu akazipiga mpaka dakika za mwisho wafaransa wakampa tafu.
He!!! Nilikuwa nashangaa sana. Asante
 
Wameshakula na kichwa cha dogo
IMG-20210421-WA0217.jpg
IMG-20210421-WA0216.jpg
 
Back
Top Bottom